Dodoma: Rais Magufuli akutana na Sekretarieti ya CCM, Mzee Mangula ndani

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
20200601_163249.jpg
20200601_163229.jpg
20200601_163209.jpg


Mwenyekiti wa CCM akiongea na baadhi ya wajumbe wa Sekretariet ya CCM

Mambo safi, CCM imara chini ya Magufuli

October ni kuteleza tu.
 
Ila maskini Chacha Wangwe mlimpoteza kimoja kisa uwenyekiti!

Kesi iliiendeshwa kwenye hizi mahakama za ccm, ungeenda kutoa ushahidi. Mchezo huo huo ndio mlitaka kuufanya kwa Lisu kisha mlete hizi propaganda mfu. Uzuri safari hii Mungu akagoma na anamtaja muhusika waziwazi.
 
Back
Top Bottom