KAWETELE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 676
- 1,593
Mwaka 2014 nilikuja Dom kikazi majira kama haya...
aisee mji ulikuwa umechangamka sana. kuanzia Chako ni Chako, Mwanga Bar, Club 84 na Maisha.
kulikuwa na Totozi na ilikuwa raha saana kuja Dom.
kwa sasa nina wiki hapa viwanja hivyo hamna Totozi kabisa. wamejaa makahaba wa pale uhindini ambapo huwezi kuthaminisha vizuri kabla ya kuopoa.. halafu kikubwa vijana wa Muroto huwa wanafanya Ambush. nilifika Club 7 nkamuelewa muhudumu maana alikuwa ana "nyuma ya kinyakyusa" rangi ya kimbulu.. ila kumchombeza akasema nisuburi hadi saa tisa muda wa kufunga. nikajaribu kumueleza utaratibu wa kumpa hela meneja wake kama ilivyo huku Dar.. ili amruhusu nisepe naye akagoma. nkaamua kwenda Malaika Pub, napo nkaambulia patupu.. utakula utakunywa ila huondoki na Totozi..
Wenyeji wa DOM nipeni koneksheni jamani.. wapi kuna bar / pub ina totozi ambao naweza nkaondoka naye at any time.
KUMBUKA KUTUMIA KINGA KILA UFANYAPO NGONO NA MTU ASIYE MWENZA WAKO.
NAWA MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI
VAA BARAKOA
EPUKA MIKUSANYIKO ISIYO YA LAZIMA.