Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Nipo gheto nimelala ila nasikia taharuki huko nje mitaa ya Nanenane Nzuguni huku kuna tembo nasikia wanazurura usiku huu na wameshaua mtu/watu (sina uhakika) maana sijatoka nje. Kuna mtu kanipigia simu kunipa info.
Mlio na taarifa mtujuze
Mlio na taarifa mtujuze