Dodoma ni nairobi ijayo?

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,252
Nahisi dodoma itakuwa kama nairobi na majiji mengine yaliyoibuka baada ya serikali kuhamishia shuguli zake huko, Dar itabaki kama mombasaa. kwa vijana ambao wanataka kuwekeza akili mkichwa

NB. ni mtazamo wangu tu lakini
 
Back
Top Bottom