Dodoma: Namna halmashauri inavyo tafuna hela za WB za barabara


M

Mtanganyika mweusi

Member
Joined
Apr 26, 2012
Messages
34
Likes
0
Points
0
M

Mtanganyika mweusi

Member
Joined Apr 26, 2012
34 0 0
Ukiwa hapa Dodoma ambapo ni makao makuu ya nchi na chama tawala kwa mgeni huwezi amini kama kweli ndo ivyo.

World Bank (WB) imetoa fedha za miradi ya barabara kwa serikali na zimepelekwa ktk halmashauri sina uhakika kama ni halmashauri zote nchini.

Cha ajabu ukitembea katikati ya mji huu barabara zote ni vumbi na nashimo cha kushangaza zaidi badala ya kujenga barabara hizo fedha hizo wanaenda kuchonga pembeni mwa barabara (mkuhungu) za rami kwa kumwaga changarawe (service road) na kuna barabara nyingine wanachonga wakati fedha wkt zinatolewa wahisani wamesema wajenge kwa kiwango cha rami.

Sasa mwisho wa kandarasi tungojee matumizi yake. Na mtu wa karibu wa engineer kadai wao wale wapi kama mawaziri wanaiba na kadai hawataki kujenga barabara za kudumu hasa kwenye halmashauri watakula wapi.

Watanzania ndo tujue kweli huu ni mtandao
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493