KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Haya mambo siyo yakuyafumbia macho kwasababu ya nazaa tabaka lenye chuki na inaweza kuja siku moja ikatokea kulipiza kisasi nda ndiyo nchi itaingia katika machafuko haswa Chama Tawala kinawajibu wakulinda amani ya nchi hii Upinzani siuadui na hakuna mwenye hili taifa, taifa ni letu sote hakuna wakujiona yeye ndo mstahiki katika hii nchi. Kama wasipofanyia kazi haya makundi ya utekaji ,kupiga watu risasi basi ipo siku hapa tanzania mtakuja kunikumbuka!Kwa haya ninayoandika