Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Wameanza ile Mbinu yao ya kujiteka kutafuta huruma ya Wapiga kura. Uzuri tuliokuwa Chadema tunaifahamu hii mbinu ya kutafuta kiki za kisiasa. Mbowe amejiteka. Acheni ujinga wenu wa kuyasumbua masikio yetu.
Na endeleeni kujiombea kujiteka, One day Alshab babu watawafanyia kweli mbwea nyie ambao hamjui madhara ya hiyo mbinu ya kisenge
OK Mungu akusamehe.
IMG_20200609_100315.jpg
 
Kwa hili tukio la kushambuliwa kwa mbowe tusiilaumu tuu serikali bali tulitizame kwa mitazamo kama 2 au mitatu hivi.

(1)inawezekana kweli serikali inajua au laa hasha haijui (hapa kama haihusiki au kujua ijitokeze wakanushe ili kututoa tongoto.

(2)inawezekana serikali haijui ila huku huko serikalini kuna kundi linataka au limeamua kumwekea doa mh rais hasa hasa kipindi hichi tunakokaribia uchaguzi ambalo hili kundi liko humo humo ila halimkubali limeamua kama mbwai na iwe mbwai kumkomoa.

(3)inawezekana huu ni mpango umepangwa baada ya upinzani kutangaza nafasi ya urais iko wazi na aliekuwa mbunge wa Singida Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea,wametengeneza tukio hili ili huko aliko kwa kuwa yuko nje ili asije aone bado usalama wake utakuwa mashakani kama akija, hivi vyote vinawezekana kwa mtizamo wangu tusiilaumu tuu serikali tuache vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi itajulikana tuu kama serikali haihusiki.
Siku chache kabla ya tukio.
IMG_20200609_100315.jpg
 
Hao wanaoning´inia hapo ni walinzi toka Chadema, sio serikali, na yeye ndo mkuu Chadema, kwanini aliwaondoa? Kama anakaa ndani ya gari na dereva wakati wa korona, hao waliokuwa wananing´inia nje ya gari walishindwaje kuwepo?

Alafu kweli Serikali hii imuhofie Mbowe kufanya kampeni????

YAANI HII SERIKALI IKIAMUA KUSHINDA UCHAGUZI, Kampeni za Mbowe zinawahusu nini?

Maana kama ubabe ni wababe kweli, hata tukisema upinzani umeshinda, tume gani itakayowatangaza???

Hivi kwanini Chadema hawataki kukua?? Wanakera sana kwa kweli. Yaani kabisa wameshindwa mpaka leo kumsoma Mkulu na kumbunia mbinu za kupambana naye?

Au KUB anatafuta sababu ya kutohojiwa na TAKUKURU??
Kwa mfano wewe ungekua una chama chako kinataka kushika madaraka.. ungekuja na mbinu gani..??
 
"Hakuwa na walinzi maana waliondolewa kipindi cha sakata la Corona, sasa wakati anapanda ngazi wakashuka watu watatu wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje ili ushindwe kufanya kampeni"
1591690410102.png


Chanzo:EastAfricaRadio tweet
 
Huyo Mbowe itakuwa kapigwa na wenzake tu wa CHADEMA baada ya kuonekana ku base upande mmoja wa Mgombea kutoka Chama Chake!!!
 
Sasa huyu si ndio alikuwa analilia lockdown, kumbe ilikuwa ni unafikiki tu! Lockdown kwa mtembezi wa usiku wa manane wapi na wapi?
 


View attachment 1472626
View attachment 1472650

Salaam,

Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.

Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.

Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.

Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata

MAONI YANGU:
Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.

Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?

We need to wake up, better late than never.
Chadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
 
Alidunguliwa hakupigwa kwasababu isingewezekana kumpiga kwa ulinzi aliokuwa nao mbowe amepigwa na watu watatu that means walimtoa kwenye gari wakamshusha chini wakampa kichapo, dereva wake alikuwa wapi? Walinzi wake je? Na hao watu hawakuwa na silaha ya moto kwa maezo ya kamanda muroto
 
Na Dereva wake nae ka umizwa ama yupo pamoja na Mwenyekiti hospt,maana Dereva ndiye angetupa picha kamili
Inasemekana ni mtu 3 tuu imemburuza ina maana alikuwa peke yake?na kama alikuwa peke yake mda huo bado kuna wasiwasi na kama alichelewa kurudi kazini lazma mlinzi alikuwepo.mbona sijasikia lolote kuhusu mlinzi.
 
Siasa tu ,hata kama ni CDM au CCm au NSSR jamani Mbowe anawatoa roho wakati siasa ni homa.Akija Lissu mtamvunja shingo kwa kweli duuuu
 
"Hakuwa na walinzi maana waliondolewa kipindi cha sakata la Corona, sasa wakati anapanda ngazi wakashuka watu watatu wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje ili ushindwe kufanya kampeni"
View attachment 1472942

Chanzo:EastAfricaRadio tweet
Hili ndilo jibu kwetu na chadema

Lisu ana mbowe wanashida ya miguu means hawataweza zungumza muda mrefu maeneo mengi

Poleni cdm na wafuasi wake

Maisha ni duara
 
Back
Top Bottom