Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,282
- 6,219
Niwakati mwafaka wa kuelezea udhaifu wa Bunge mbele ya Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya BungeMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof Mussa Asad amewasili bungeni, Dodoma kuitikia wito wa kufika katika kamati ya maadili
CAG tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kuhusu madai ya kudhalilisha Bunge, inadaiwa alisema bunge ni dhaifu.
UPDATES:
View attachment 1000982
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akiwa tayari amefika mbele ya Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge Muda huu mjini Dodoma kuhojiwa kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge akiwa ziarani nchini Marekani.