Dodoma mji unaokuwa haraka unahitaji kufanya investment dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma mji unaokuwa haraka unahitaji kufanya investment dodoma?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by EllyMsuya, Apr 25, 2012.

 1. E

  EllyMsuya Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  [h=2]je unahitaji kiwanja chakujenga nyumba hote,bisahara,sheli,garage/yard au unataka kupanga office bila kusahau pia nyumba zipo zinazouzwa na maeneo makubwa yanayofaa kujenga shule wasiliana nasi sasa 0753577994,0713552829 [/h]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Nahitaji shamba la kulima zabibu na alizeti kwa heka unauza kiasi gani? Kiwanja cha kupimwa sq m1200 unauza kiasi gani?
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,014
  Likes Received: 2,298
  Trophy Points: 280
  nyie madalali...i hope sio tapeli kama wengine walivyo...nikija dom nitakutafuta unipe ivyo viwanja na majumba ninunue..kutangaza biashara hapa pia nafikiri wamiliki wa forum hii wataomba walau uchangie, huwezi tangaza biashara bure!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  weka zina range gani Tuwekeze Dodoma
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Weka bei zinakuwaje? Ukikimbia utaonekana tapeli.

  Ukiweka bei I'm 100% sure utapata soko humu.
   
 6. v

  vicmal New Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipo maeneo gani
   
Loading...