Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma mji unaokuwa haraka unahitaji kufanya investment dodoma?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by EllyMsuya, Apr 25, 2012.

 1. E

  EllyMsuya Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je unahitaji kiwanja chakujenga nyumba hote,bisahara,sheli,garage/yard au unataka kupanga office bila kusahau pia nyumba zipo zinazouzwa na maeneo makubwa yanayofaa kujenga shule wasiliana nasi sasa 0753577994,0713552829
   

  Attached Files:

 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Kiukweli watu wachangamkie dodoma, mji unakua na opportunities za kuinvest zipo kibao.
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nenda wewe tutabanana hapahapa bongo
   
 4. M

  Malolella JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nishajinyakulia eneo langu kama ekari 15 ekari sh laki tano pale Nzuguni(maeneo ya nanenane). Changamkieni jamani c lazima ukinunua ujenge. Bei inapanda kila kunapokucha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wekeni makisio ya bei za viwanja tafadhali
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,956
  Likes Received: 3,246
  Trophy Points: 280
  Mji wa Dodoma ukame sana nilikuwa huko mwaka jana sikuona kitu cha maana zaidi ya mikutano ya bunge na ujenzi wa UDOM.
   
Loading...