Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

Rais alisema hajaribiwi wewe Deo unamtafutia nn raisi wetu?
 
Pumbavu kabisa...mungu unisamehe kwa maana mara kwa mara nimeshawaua wanasiasa kwa mawazo nayowawazia.
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amependekeza Rais John Magufuli awe rais wa maisha kutokana na uchapakazi wake, wakati akichangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jana.

=======

Ametoa wazo hilo huku akifananisha nchi ya China kumfanya rais wao kuwa rais wa maisha kutokana na kazi nzuri alizofanya. Na kwamba Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka miwili aliyokaa madarakani amefanya mambo mengi mazuri hivyo anastahili kuwa rais wa maisha.

Sawa
 
Huyo hata kuandika jina lake hawezi
 
Huyo Mbunge hana adabu.

Rais alishasema hataki kuongeza hata siku moja.
 
watu wa aina yake wapo kila awamu kuanzia awamu ya kwanza kwa kifupi maisha yao mpaka kufika hapo ni kwa kujipendekeza
 
Tuseme tu kwa mfano ataishi kwa miaka 20 zaidi na kila mwaka trilioni 1.5 zinatafunwa...kwa miaka ishirini trilioni 30 zitakuwa zimetafunwa! 30,000,000,000,000/=, duh!
 
Back
Top Bottom