Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amependekeza Rais John Magufuli awe rais wa maisha kutokana na uchapakazi wake, wakati akichangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jana.

=======

Ametoa wazo hilo huku akifananisha nchi ya China kumfanya rais wao kuwa rais wa maisha kutokana na kazi nzuri alizofanya. Na kwamba Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka miwili aliyokaa madarakani amefanya mambo mengi mazuri hivyo anastahili kuwa rais wa maisha.

 
Msishangae.. Hawa ndio wale waliopata mgao.. Hata kama ingekuwa wewe umepewa bil moja hivi si lazima utapanua masaburi kusema jamaa swe wa maisha.

Ila sisi wananchi tunamwambia huyo mhehe atuliza papa lake.
Na wote wataenda jela yeye na bashite
 
Boss yamindinda Tanzania Idadi yetu tupo zaidi ya 50m+. Yaani katika Watu wote hawa hakuna mwenye sifa ya kuwa Rais mpaka tumfanye Rais awe wa maisha ??? !!! Mkipitisha Rais wa Maisha, pitisheni na Wabunge wa Maisha, den Madiwani wa Maisha.

Haki, Ngozi nyeusi sijui nani katuloga aisee.
 
ccm huwezi kujua wanatumia akili zipi! Mfano 'chaguo la Mungu' ilikuwaje likaachia madaraka baada ya miaka 10 au siku hizi Mungu naye anatoa 'mihula'!?

Ni aibu nchi ya watu milioni 52 muwakilishi wa wananchi anatamka maneno kama haya!
 
Hahahaha Jah People hahahahahahaha Makambako kazi mnayo
 
Back
Top Bottom