Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

wenzetu majirani kenya hapo rais wao amewapandishia mshahara kwa asilimia 12,ilihali wao wakati wa Corona waliwekwa lockdown ili sisi Tanzania tukipiga kazi masaa 24,kweli kukaa karibu na kiwanda sio wepesi wa kupata kazi
Tuendelee kubeti tuu hamna namna
 
Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo...

Hajazungumzia fidia ya mapumziko kama alivyokuwa anafanya Mzee Ruxa maana leo ni siku ya mapumziko
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom