Dodoma Kuna Pesa, huu ni ukweli. Nashauri nendeni mkafanye research, muda ndio huu

Kuna wenzio wanajidai serikali mwaka wa Tatu hawajalipwa. Asiwadanganye Dodoma Hamna kitu. Kwanza Upepo ushabadirika, Nchi ya Mama tunarudi zetu Maji chumvi
 
kuna jamaa angu anafanya issue za kuuza electronics barabara ya 11 (kama sijakosea) niliona anafaida ya mil 1 mwezi uliopita.....

Sema Dodoma ni kugumu sana, ni vile kils mtu na bahati yake... ila uwepo wa pubs hata wauza bisi wanalaza 30-40 hii nilishuhudia kule karibu na alfa supermarket kama unaenda kisasa kuna kapub pesa nje nje yule mchaga nahisi anauza hadi laki 9 kwa siku.
 
Kwa hiyo tender kubwa iliyowahi kutolewa ni shilingi mil. 48 na imetolewa dodoma, naona idodomya wameanza kuweka rekodi....
 
So lazima iwe Kama yangu, shughuli na biashara zangu nishazisema Sana humu
Niungu kwenye kampuni yako nifundishe jinsi ya kuomba hizo Tender nipe Mkoa...mimmtamu sana kuongea na Wakuu wa Shule.

Kwa Deal kama hilo ulilofunga utanilipa 1M
 
kuna jamaa angu anafanya issue za kuuza electronics barabara ya 11 (kama sijakosea) niliona anafaida ya mil 1 mwezi uliopita.....

Sema Dodoma ni kugumu sana, ni vile kils mtu na bahati yake... ila uwepo wa pubs hata wauza bisi wanalaza 30-40 hii nilishuhudia kule karibu na alfa supermarket kama unaenda kisasa kuna kapub pesa nje nje yule mchaga nahisi anauza hadi laki 9 kwa siku.
Laki tisa?? Hyo Ni bill ya mtu mmoja hapa dar yaani hivo ni vitu umeuza kwa mtu mmoja.wakija 20 tu je??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom