DODOMA: Kubenea aburutwa Kortini kwa kumshambulia Juliana Shonza

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mawakili wanaowatetea Chadema wameshakiwa kwa kosa moja la shambulio la kawaida, kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 26 Julai ili upepelezi ufanyike

Mawakili hao wamesema wana imani na mahakama kuwa haki itatendekeka na wananchi wasiwe na wasiwasi

Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema wabunge hao wameshinda polisi tangia juzi na kushindwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa mashataka yasiyopaswa kupewa uzito yaliyopewa
Mbowe ameongezea hawakupeleka wapiganaji bungeni bali wawakilishi wa kutunga na wabunge wa upinzani wanafuata sheria na kitendo cha kuwashataki wabunge hao bila uchunguzi wa awali na majina ya wabunge na hata mbunge ambaye hakuwepo kabisa Dodoma ni kudhalilisha wabunge wa upinzani

 
Apa nacho ona ni uleule ujinga ambao auna faida yoyote yani kupishana kauli mnapelekana mahakamani sasa tulipofika Kama taifa sio pazuri ata kidogo apo akuna kesi ya maana ni upuuzi wa maccm
 
Huu uadui wanaoujenga ndio unaofanya watu kwa kasi ya ajabu wanaichukia serikali na kuiombea mabaya. Ona watu sasa wanataka kesi ya madini serikali ishindwe na wafurahi, misaada ikizuiwa wanafurahi, polisi wakidunguliwa wanachekelea hata wakisikia ajali ya gari la kiongozi wanakimbilia kuuliza 'kafa'? Kwa nini? Wamechoka kuona viongozi wao wanaonewa kama yatima ndani ya nchi yao na wakifanya shughuli kisheria.
Hizo in dalili ambazo hata kwenye nchi za kigaidi wanaanza hivyo.
Huwezi mwambia MTU awe mzalendo apende nchi yake huku unamuonea, kumnyanyasa na hata akisema LA kujenga nchi unampuuza.
Amin alipopigana nasi ndio alipojua hasara ya kuwatenga na kuwaonea watu wake. Wanageuka na kumsaidia adui akuchape
 
Hili ndugu zangu na wanachama mwenzangu wa ccm hapa tunachemka tukumbuke watanzania hawapendi Mtanzania yeyote yule kufanyiwa uonevu kwa njia yoyote sisi ni wamoja anayetugawa sio mwenzetu .Kwanza tunazidi kuwaongezea upinzani umarufu zaidi kuliko tunavyofikiri kila tutakalolifanya kwa wapinzani wetu kwa ubaya yakuwa litatubeba hapo ni bure kabisa
 
Mbunge wa Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, Saed Kubenea amefikishwa mahakamani mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumfanyia shambulio la kawaida kwa Mbunge wa Viti Maalum(CCM), Juliana Shonza.
 
Mkuu wa nchi anavyotaka tumwombee halafu kila kukicha ananyanyasa wengine nahisi maombi yetu hayatakuwa na mibaraka
 
Shambulio la kawaida! Hiyo sawa japo ni usumbufu kwa mahakama
 
Hawa jamaa wanahangaika nini??
Au ndio kitafuta kiki kwa masaburi?
Ipo siku wataipata hio kiki wanayoitafuta.
Sasa kesi kama hii si kumpotezea hakimu muda wake.
 
Back
Top Bottom