Dodoma: Kambi ya Upinzani yanyang'anywa Watumishi, Wagoma kuandaa Hotuba, Katibu wa Bunge anawahujumu

jacquelyne

Member
Aug 29, 2017
73
125
Bunge lisitumike kuua upinzani Tanzania . Mfumo huu uliridhiwa na watanania sio bunge. Tafadhalini acheni mizengwe na msilitumie bunge vibaya hii nchi sio yenu ni ya watanzania. Ubunge ni dhamana kuna siku tutawahoji mtakapokuja kujinyenyekeza kuomba kura za ridhaa kurudi bungeni. Acheni hizo wahesjimiwa tunawategemea kutuletea utulivu na amani na aio vinginevyo. Hiiiii niho wabehi mlija he shi wanhampala na bagikulu wise.
 

Jini Kisiranii

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
1,573
2,000
Hivi mbowe hajagundua kuwa chama kimeshamfia mikononi mwake. Kama hajagundua hili basi mbowe ana roho ngumu kama ya farao. Shida ya kuongoza chama kama sakos ndo ilomponza.
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,139
2,000
Kiukweli Mbowe kashindwa kuongoza na hafai kazi kulalama vitu visivyo vya msingi. Anaongoza chama kama anaongoza familia yake hahahaaa bila mabadiliko ya kweli ya kiuongozi hii nchi itakosa wakosoaji wa kweli wa serikali wanaopenda maendeleo.
Changia ufumbuzi nini kifanyike, otherwise mbona na wewe ni wale wale tu. Watanzania wengi wana akili hii hii ya kulalamika. Hata huyo Magufuli naye ni mlalamishi tu.
 

Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
Freeman Mbowe: Watumishi wa CCM hapa bungeni wapo na hawajafukuzwa kama wa kwetu
kipengele hiki kinanikumbusha uchaguzi wa marudio wa siha na kinondoni, ccm viapo walipewa wiki 1 kabla wao wakanyimwa ati mpaka siku 3 kabla ya uchaguzi, wakienda kwa katibu kudai haki zao ndio hapo watadai wameandamana na wapigwe risasi za moto, wafilie mbali sijui mara hii itampata nani
 

Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
sasa wameenda bungeni kufanya nini kama sio kupoteza kodi zetu mithili ya malipo ya pangaboi, bunge lisingekuwepo mpaka spika arudi bungeni, huyu katibu wa bunge na yeye msukuma nini
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
8,172
2,000
kiukweli hili bunge ni mzigo kitendo cha katibu wa bunge kuteuliwa na rais kinaminya uhuru wa bunge.
 

mop

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
867
1,000
Huyu Mugabe wa Chadema kanyoa ndevu? Masuala ya Bunge wamalizane huko huko Bungeni. Wanataka watumishi lukuki wakati Bungeni kwenyewe hawakai walipwe mishahara bila kufanya kazi na sasa wanaandaa mkakati wa kususia Bunge la Bajeti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom