Dodoma: Kambi ya Upinzani yanyang'anywa Watumishi, Wagoma kuandaa Hotuba, Katibu wa Bunge anawahujumu

Kiukweli Mbowe kashindwa kuongoza na hafai kazi kulalama vitu visivyo vya msingi. Anaongoza chama kama anaongoza familia yake hahahaaa bila mabadiliko ya kweli ya kiuongozi hii nchi itakosa wakosoaji wa kweli wa serikali wanaopenda maendeleo.
 
Duh! These guys are really done! Wanataka kuaminisha umma kuwa hotuba ya KUB haina mchakato (angalao mwezi mmoja kabla) wa kuiandaa bali kuaandaliwa just few day before delivery time? KUB anataka kuaminisha umma wa Tanzania kuwa hao makalani ndio wanaopaswa kuandaa hotuba, siyo core staff wa Chama!

Ina maana, if worse comes to worse, Mbowe hana, wala hatumii hata laptop kufanya kazi zake na kazi za chama? Hii sasa ni mpya kuliko yote. Inaelekea impact ya utawala wa JPM imewafikia mapema zaidi kuliko tulivyotarajia. Lakini Watanzania wanawaona.
 
Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe anazo hoja za msingi. Hii kaleta kama taarifa maana sisi kama raia tulishindwa kuelewa kwa nini hapakuwepo na hotuba ya kambi ya upinzani. Sasa tumejua na tumeelewa. Kumbe kuna taratibu na kanuni zinavunjwa kwa makusudi lengo ni kuhujumu upinzani.

Ahsante tumeelewa.
Mkatba wa wafanyakazi tangu desemba umeisha 2017 nan wa kulaumiwa katika hilo kuna vitu vingne ni IQ ndogo saana inahtjika
 
Siasa ni kazi kama kazi yoyote. kwa yule aliyechagua siasa ni lazima mazingira yawe fair ili apige kazi kwa taratibu na kwa kuongozwa na sheria na katiba.

Katika makampuni kuna watu wa Marketing hawa ni kama wanasiasa huwezi kuwaambia waende kuendesha mitambo kwa kuwa wao ni maneno zaidi.

siasa ni maneno zaidi haihitaji mitambo au nguvu ni kazi. katika kuendeleza nchi ni sawa na marketing katika ushindani wa biashara.

tuweke mazingira sawa katika siasa kinyume cha hapo ni tabu tupu!
 
Hawa jamaa wamechuja sana kwa ujinga wa viongozi wao,matamko kila kukicha utekelezaji sifuri,hapo utakuta wanataka kujitutumua tena wakati jamaa wiki nzima walikua wametulizwa ngomeni na hali ni shwari ,bado akili yao haijajityuni kwamba hii si awamu ya nne ,ni awamu ya tano
Watanyooka tu!
Si umeona advertisement!
 
Ebu waache wapinzani. Nyie sasa mnataka kuleta vita nchi hii. Ni haki ya kila chama kuwa na secretariat.
 
Kama hizo hoja zimetoka kwa Mbowe mwenyewe basi matatizo ya CHADEMA ni makubwa kuliko watu wanavyodhani.
Eti hawakusoma hotuba yao bungeni kwa sababu hawakuwa na wafanyakazi wa ofisini? Ni sawa na mama mwenye nyumba kulaza watoto njaa kisa hana dada wa kumsaidia kazi! Mzaha gani huu? Halafu Mbowe anadai mikataba ya wafanyakazi wa iliisha tangu mwezi Desemba 2017, lakini amekaa kimya hadi sasa miezi minne imepita ndio analalamika? Kuna Chama hapo? Au alikuwa busy anaandika waraka wa wale maaskofu wetu?

Mkuu Hekima Kwanza,

Haya matatizo ni makubwa kweli, pamoja na ukubwa wake, tunahitaji kufahamu undani wake;
1. Kulikuwa na wafanyakazi wangapi hapo kabla?
2. Waliajiriwa na kulipwa na nani?
3. Mikataba yao ilikuwa ya muda gani?
4. Kwa nini mikataba ilisitishwa?
5. Utaratibu wa kuwepo kwa hao wafanyakazi ulianza lini na kazi zao zilikuwa zipi?

Yawezekana ni maboresho tu ya utendaji wa kazi za kiofisi ya bunge ili kuongeza ufanisi.
Hata hivyo, kuna uwezekano wa kuwepo watendaji wa uma wenye tafsiri potofu za kanuni na sheria ili kutimiza kiu zao za kutenda uovu kinyume na malengo ya utawala kwa ujumla.
 
Duh! These guys are really done! Wanataka kuaminisha umma kuwa hotuba ya KUB haina mchakato (angalao mwezi mmoja kabla) wa kuiandaa bali kuaandaliwa just few day before delivery time? KUB anataka kuaminisha umma wa Tanzania kuwa hao makalani ndio wanaopaswa kuandaa hotuba, siyo core staff wa Chama! Ina maana, if worse comes to worse, Mbowe hana auahatumii hata laptop kufanya kazi zake na kazi za chama? Hii sasa ni mpya kuliko yote. Inaelekea impact ya utawala wa JPM imewafikia mapema zaidi kuliko tulivyotarajia. Lakini Watanzania wanawaona.
Dikteta mh Mbowe alikuwa rumande nani angetayarishha hotuba na kuiwsilisha bila rukhsa yake. Malalamiko yakeyanathibitisha udikteta wake.
 
Tunaanza kuzoeshwa mfumo wa Chama kimoja. Kama utani tunasikia masauti na masikio yatakuwa sugu mara

Kambi ya upinzani wamesusia uchaguzi
Kambi ya upinzani hawana hotuba bungeni

Haya. Basi sawa tutazoea tu
 
Hawa jamaa wamechuja sana kwa ujinga wa viongozi wao,matamko kila kukicha utekelezaji sifuri,hapo utakuta wanataka kujitutumua tena wakati jamaa wiki nzima walikua wametulizwa ngomeni na hali ni shwari ,bado akili yao haijajityuni kwamba hii si awamu ya nne ,ni awamu ya tano
Jiongopeeni tu, lakini mtakuja kujuta nawaambia tena kabla hamjafa.
 
Kama hizo hoja zimetoka kwa Mbowe mwenyewe basi matatizo ya CHADEMA ni makubwa kuliko watu wanavyodhani.
Eti hawakusoma hotuba yao bungeni kwa sababu hawakuwa na wafanyakazi wa ofisini? Ni sawa na mama mwenye nyumba kulaza watoto njaa kisa hana dada wa kumsaidia kazi! Mzaha gani huu? Halafu Mbowe anadai mikataba ya wafanyakazi wa iliisha tangu mwezi Desemba 2017, lakini amekaa kimya hadi sasa miezi minne imepita ndio analalamika? Kuna Chama hapo? Au alikuwa busy anaandika waraka wa wale maaskofu wetu?
Wewe unataka tu uonekane umeandika kwani hata utaratibu wa bunge huujui. Hopeless.
 
Back
Top Bottom