Dodoma: Kambi ya Upinzani yanyang'anywa Watumishi, Wagoma kuandaa Hotuba, Katibu wa Bunge anawahujumu

Hawa jamaa wamechuja sana kwa ujinga wa viongozi wao,matamko kila kukicha utekelezaji sifuri,hapo utakuta wanataka kujitutumua tena wakati jamaa wiki nzima walikua wametulizwa ngomeni na hali ni shwari ,bado akili yao haijajityuni kwamba hii si awamu ya nne ,ni awamu ya tano
i can smell your fear
 
Kama hizo hoja zimetoka kwa Mbowe mwenyewe basi matatizo ya CHADEMA ni makubwa kuliko watu wanavyodhani.

Eti hawakusoma hotuba yao bungeni kwa sababu hawakuwa na wafanyakazi wa ofisini? Ni sawa na mama mwenye nyumba kulaza watoto njaa kisa hana dada wa kumsaidia kazi! Mzaha gani huu?

Halafu Mbowe anadai mikataba ya wafanyakazi wa iliisha tangu mwezi Desemba 2017, lakini amekaa kimya hadi sasa miezi minne imepita ndio analalamika? Kuna Chama hapo? Au alikuwa busy anaandika waraka wa wale maaskofu wetu?
 
Back
Top Bottom