google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,694
hii serikali movies zake ni kama isidingo haziishi kila siku ni kipande kipandeJeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mwanaharakati huru Cyprian Musiba kwa Mahojiano zaidi dhidi ya Malalamiko yake na tuhuma za kusambaza habari za kutaka kuuliwa kwenye magazeti na baadhi ya wanasiasa bila kuripoti kwenye vyombo vya dola jambo ambalo ni kinyume na Sheria.