Kwani ni uongo?Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani
'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Sababu ndiyo ukweliNimejipa muda kusoma na kutafakari inakuwaje mtu mwenye akili timamu na madaraka anaweza kuzungumza hivi.Nimejaribu kusoma na kusoma na ninachokiona ni hofu na kila mteule hajiamini na anaitafuta kick ya kusikika.
Mungu ni mwema na Tumshukuru yeye kwa kila jambo.
Hili nakubaliana na wewe ni zezeta lakini si KatambiJana nayo zezeta lingine likaweka mtandaoni.
Ndio unajiuliza Magu kawafanya mini hawa vijana? Mbona wameharibikiwa juu mpaka chini na mbele mpaka nyuma?View attachment 1197438
Unajua kuwa Katambi kafanya mitihani mara mbili Law school kapigwa chini wakati vijana wadogo wana twanga single sit tuu?Hili nakubaliana na wewe ni zezeta lakini si Katambi
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani
'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Hofu ya kutokuwa na uhakika wa KeshoDuh hawa viongozi vijana kila kukicha busara inapungua
Watakuwaje na busara mkuu? Nafikri umenielewa! Lishi likalondelaga nyi'olyo! Ni hayo tu!Duh hawa viongozi vijana kila kukicha busara inapungua
Jibu lake nitakupa sirini.Kwahiyo zinawadondoka?
Nakungoja kwa hamu, ila uje na mifano kuntu!Jibu lake nitakupa sirini.
Noma sana!Huyu jamaa amezidi kuwa mjinga baada ya video yake ya utupu kuvuja, yaania ana viungo vyote vikubwa kasoro kile kimoja kinacho mpa mwanaume sifa ya kuwa mwanaume amepewa kdogo kuliko, akiwaza hilo lazima aumie. Yaani Mungu huyu kweli fundi maana jamaa wa Umber Rutty kapewa kamwili kadogo ila uanaume mkubwa , le mbulula anaumia anajipooza kusifia ujinga,