DODOMA: Daktari feki anaswa. Alikuwa akiwatoa mimba Wanafunzi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058

Dokta huyo feki amenaswa hospitali ya mkoa Dodoma, alikuwa na vitambulisho feki vingi.

Wagonjwa walimlalamikia kuwatoza fedha pasipo utaratibu. Yeye anadai ni mwanafunzi wa Udom medicine.

Pia alikuwa anawatapeli wanafunzi akidai anatoa mimba kwa laki nne.
 
Wakati wenzake madaktari fake wanakamatwa kipindi kilichopita yeye alidhani amefaulu.. sasa kazi kwake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom