figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Huko Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, mdada wa kazi kawafungia ndani,watoto wa mwenye nyumba kisha kawachoma moto. Inadaiwa sababu ya kufanya hivyo, ni baada ya Mama mwenye nyumba kuwa jeuri na alikuwa akimfokea bila sababu za Msingi kila kila siku.