Dodoma: Dada wa Kazi amchoma moto boss wake na watoto hadi kifo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,822
2,000
Huko Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, mdada wa kazi kawafungia ndani,watoto wa mwenye nyumba kisha kawachoma moto. Inadaiwa sababu ya kufanya hivyo, ni baada ya Mama mwenye nyumba kuwa jeuri na alikuwa akimfokea bila sababu za Msingi kila kila siku.
1789ac4f-ef18-43a4-8160-e896f8c118cc.jpg
 
frem zero

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
598
1,000
Huko Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, mdada wa kazi kawafungia ndani,watoto wa mwenye nyumba kisha kawachoma moto. Inadaiwa sababu ya kufanya hivyo, ni baada ya Mama mwenye nyumba kuwa jeuri na alikuwa akimfokea bila sababu za Msingi kila kila siku.
 
Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,394
2,000
Duuuh hawa ma-starring sinia wa dom wana matatizo gan.. Kuna lile lilifungia watoto likaenda kula kwanja watoto wakafa kwa moto, hili nalo limechoma moto bos na watoto...
R.I.P MAMA HOUSE NA WAJOMBA
 
Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,546
2,000
Hii habari ingekuwa imetoka kwa wajomba pale uarabuni ingekuwa page 16 zimefika
 
totolito

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
705
500
Aiseee xjui hawa mahouse girl wamerisishwaa na nani ukatili huu xku hizii duuuh
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,959
2,000
Huko Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, mdada wa kazi kawafungia ndani,watoto wa mwenye nyumba kisha kawachoma moto. Inadaiwa sababu ya kufanya hivyo, ni baada ya Mama mwenye nyumba kuwa jeuri na alikuwa akimfokea bila sababu za Msingi kila kila siku.
View attachment 367811
kijana mdogo acha utoto wa kutuletea story za kutunga

hizo picha umeokota kutoka kwenye hii thread hapa ukaamua kutunga na story

click here: Uhaba wa mafuta ya taa wasababisha mauaji ya watoto wanne wa familia moja Kongwa Dodoma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom