Dodoma: Bunge lasitisha kupokea wageni kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona nchini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Kamati zote za Bunge zimesitisha ziara za kikazi hapa nchini na zimeelekezwa kurudi Dodoma ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Corona na Bunge mtandao utatumika katika shughuli za Kamati zikiwa hapa Dodoma"-Spika Ndugai akizungumza na Waandishi Jijini Dodoma.

1584626498506.png
 
Kumbeee ati naomba kufahamishwa. Bungeee sio mojawapo ya mikusanyiko iliyopigwa mafuluku???

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Natamania supika awaambukizie wote Corona wakufilie mbali tuanzage upya

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kamati zote za Bunge zimesitisha ziara za kikazi hapa nchini na zimeelekezwa kurudi Dodoma ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Corona na Bunge mtandao utatumika katika shughuli za Kamati zikiwa hapa Dodoma"-Spika Ndugai akizungumza na Waandishi Jijini Dodoma.

View attachment 1393085
Nashukuru kwa kupokea ushauri nilioutoa hapa Jf.

Hata bunge la bajeti liendeshwe kwa mtindo huo wa bunge mtandao!
 
Kamati zote za Bunge zimesitisha ziara za kikazi hapa nchini na zimeelekezwa kurudi Dodoma ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Corona na Bunge mtandao utatumika katika shughuli za Kamati zikiwa hapa Dodoma"-Spika Ndugai akizungumza na Waandishi Jijini Dodoma.

Wageni wasiingie ndani katikati ya waheshimiwa kwa kuhofia maradhi.

Na pia tunatoa ombi... wageni wasiingie ndani ya nchi katikati ya wananchi kwa kuhofia maradhi.
 
Back
Top Bottom