Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

chanjo gani kuchoma mpaka ujaze fomu, Kwanini zingine hazina fomu na tatizo lingine watalaam tunaowaamini wanatofautiana kuhusu hiyo chanjo.
Ndio utulie nyumbani waache wasiogopa fomu wachome. Kwani ulivyopigwa chanjo ya ndui hukuandikishwa?!
 
Kuna mijitu ni mishabiki maandazi ya chanjo lakini mpaka leo haijachanja ni porojo tu..... tupo more than 60m+ chanjo 1m? Bado utasikia vituo vimejaa wachanjwaji..

Hiyo mosi pili mpaka sasa uchanje usichanje hakuna tofauti... unaambukizwa, unaambukizwa, severe iko palepale and most of vaccinated ndio wanapukutika almost 67% kwa ulaya na us.

Faida za kuchanja sana sana ni kupata visa so far.
 
Hasara kufa!
 
Back
Top Bottom