Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,416
- 15,971
orait oraitakaongezea kwamba, tukio hili halihusiani na Siasa.
orait oraitakaongezea kwamba, tukio hili halihusiani na Siasa.
Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35.
Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu Usiku, Waliviziwa na Bwana Haruna Ali Kimeta kwa nia ya Kumpiga Mshale Mume wa Marehemu anayefahamika kwa jina la Iddi Masale miaka 55, lakini Mshale Ukamkosa na kumpata Mke wake Mgongoni ambaye alipoteza maisha Muda mchache baada ya kufikishwa Hospitali ya Kondoa.
Chanzo cha ugomvi, ni kwamba Iddi Masale aliingiza Mifugo kwenye Shamba la Alizeti la Haruna. Siku ya tukio, Mchana Walishinda Wanarumbana na kurushiana maneno Makali.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto ameiambia JamiiForums kwamba, Mtuhumiwa wamemkamata na Mshale uliotumika wameupata ambao ni kidhibiti na akaongezea kwamba, tukio hili halihusiani na Siasa.
Wewe utakuwa mkurupukaji wa karne .Vipi Polisi wanasemaje? Nani amehusika? Je, waliofanya kitendo hicho wameshikwa? Wapi hiyo habari kamili inapatikana?
Inaonyesha jinsi ambavyo unafikiri kama watu huwa hawasomi. Hiyo heading story imekuwa edited comment yangu ilikuwa na habari ambayo ni nusu nusu. Usiwe unakurupuka next time.Jamani ungesoma habari yote hayo maswali yako ungejijibu mwenyewe bila kugusa key nyingi kivile.
🤣 🤣 🤣 🤣
Hiyo story wewe unaingia wakati mods wame-edit na kupata taarifa.Wewe utakuwa mkurupukaji wa karne .
Ulikuwepo weweendelea hivyo hivyo na uongo wa Morotto
Murotto alikuwepo ?Ulikuwepo wewe
Unauliza swali kama hiloMurotto alikuwepo ?
kijana bado sana kumfahamu MurottoKumbe zuzu!!
Unauliza swali kama hilo
Hivi mmewe Marehemu
Taarifa anazipeleka wapi kwako
Sawa comrade ila bange ni dawa ohoooKanywe bangi kwenu. Hiyo story wewe unaingia wakati mods wame-edit na kupata taarifa.
Magaidi wa uvccm wameshaanza kuua mapema hata kampeni badoChadema wameanza kuuwana wao kwa wao.
Kwa nini wasifanye kura za maoni kama ccm tu
Hawa iterahamwe wa Lumumba wabaya sanaDah wameanza mapema sana mbona? Pumzika kwa amani
Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35.
Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu Usiku, Waliviziwa na Bwana Haruna Ali Kimeta kwa nia ya Kumpiga Mshale Mume wa Marehemu anayefahamika kwa jina la Iddi Masale miaka 55, lakini Mshale Ukamkosa na kumpata Mke wake Mgongoni ambaye alipoteza maisha Muda mchache baada ya kufikishwa Hospitali ya Kondoa.
Chanzo cha ugomvi, ni kwamba Iddi Masale aliingiza Mifugo kwenye Shamba la Alizeti la Haruna. Siku ya tukio, Mchana Walishinda Wanarumbana na kurushiana maneno Makali.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto ameiambia JamiiForums kwamba, Mtuhumiwa wamemkamata na Mshale uliotumika wameupata ambao ni kidhibiti na akaongezea kwamba, tukio hili halihusiani na Siasa.
So sad, ....
Watu hawana huruma japo chembe dah
Apumzike kwa amani
Unaweza kuta 7bu ni mambo haya haya ya siasa
Duuh kumepambazuka,namkumbuka Alphonce Mawazo nyakati kama hizi alitwaliwa uhai