TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

So unnecessary R.I.P

Hizi siasa za sympathy na kujaribu kuonyesha picha mbaya kwa dunia kipindi cha uchaguzi wont work.

Watanzania wameamka hakuna mtu makini mwenye shida ya kumuua mwenyekiti wa BAWACHA tena wa tarafa asiejulikana for political motive it just doesn’t up.

Either sababu za kifo chake ni nje ya siasa, na kama zinahusiana na siasa basi CDM wenyewe wamefanya au watu wengine wenye nia ya kujaribu kutafuta international attention.

Just plain stupid so unnecessary.
 
Hii huenda ikawa ni kazi ya watu wasiojulikana na lengo likiwa ni kuanza kutisha watu.

Subiri kuona danadana za uchunguzi wa hili tukio ndio utajua ni kina nani wanahusika.
Unatatizo kubwa la kutofikiri. Vita yenu ya ndani ya chama unatafuta mchawi nje ya chama! Pathetic.
 
"bila kujali haki imetendeka au lah"

Haki ndiyo msingi wa amani,bila hiyo huwezi kupata amani,labda kupata uvumilivu tu...
Maranyingi haki 'imeonekana' ikikiukwa kwa baadhi ya watu kwa watu flani hasa wapinzani, ninachoomba ni kutamalaki kwa utulivu hasa siku zijazo tukielekea kipindi cha uchaguzi na kipindi cha uchaguzi pia.
Kauawa huyo Asia, yawezekana uchunguzi ukafanywa na ikaonekana haki haijatendeka, watu wawe wavumilivu tu ili amani itamalaki, yawezekana wale wanaooekana kua hawatendi haki, wakajitafakari na kuifanya haki ikaonekana.
R. I. P Mawazo et al.
 
So unnecessary R.I.P

Hizi siasa za sympathy na kujaribu kuonyesha picha mbaya kwa dunia kipindi cha uchaguzi wont work.

Watanzania wameamka hakuna mtu makini mwenye shida ya kumuua mwenyekiti wa BAWACHA tena wa tarafa asiejulikana for political motive it just doesn’t up.

Either sababu za kifo chake ni nje ya siasa, na kama zinahusiana na siasa basi CDM wenyewe wamefanya au watu wengine wenye nia ya kujaribu kutafuta international attention.

Just plain stupid so unnecessary.
Ndo uchunguzi ufanyike,wakamatwe na iwekwe wazi akina nani wamemuua,siyo vizuri kama kauawa na chama chake for political issues kama unavyohisi.
Uchunguzi ufanyike,kwa Mawazo ilitokea,Lissu ikatokea,huko sijui wapi ikatokea,kwanini hao watu wasikamatwe na ukweli ukawekwa hadharani?
Hii ni mbaya.
 
Hapa ndipo tulipofikia? Kuua mwanamke kwa mshale? Cowardice of the lowest degree.
 
Binadamu ni mnyama mwenye roho mbaya kuliko wanyama wote duniani.
 
RIP mama, Mwenyezi Mungu akakulipie damu yako ilimwagika ardhini kwa kuleta ukoma na magonjwa yote mabaya ktk nyumba za wahusika, wateseke milele na milele.
 
Ndo uchunguzi ufanyike,wakamatwe na iwekwe wazi akina nani wamemuua,siyo vizuri kama kauawa na chama chake for political issues kama unavyohisi.
Uchunguzi ufanyike,kwa Mawazo ilitokea,Lissu ikatokea,huko sijui wapi ikatokea,kwanini hao watu wasikamatwe na ukweli ukawekwa hadharani?
Hii ni mbaya.
Kitu muhimu kwenye ushahidi wa kesi za ‘grievous bodily harm/murder’ ni motive.

Unaweza kuona kwanini sakata la Lissu na Mawazo hao unaowafikiria wakawa suspect number one ni kutokana na kwa mtazamo wao pengine walikuwa wanaona hao watu wanaingilia maswala ya National interest and security that is somewhat provocative (be it aina maana wametenda wao beyond any doubt).

Sasa mwanadada tena huko kijijini ambae ukute hata mamlaka azimjui apigwe tu mshale wakati CDM inawamama maelfu waina hiyo Tanzania nzima. Jimbo lenyewe la CCM miaka yote alijawahi shikwa na wapinzani ata siku moja na halmashsuri siku zote inaongozwa na madiwani wa CCM.

Sasa why mtu aangaike na mwanadada kama huyo the only motive ni mjinga mmoja ambae anatafuta Kiki, na kwa kweli akikamatwa if it were me adhabu yake ni life for life na waliomtuma wakijulikana wapewe adhabu hiyo hiyo; uwezi ukapokonya uhai wa mtu kirahisi ivyo it’s just sickening.
 
walio lilia siasa zirudi sasa zimerudi , pambaneni sasa.
Jtatu ni maandamano.
Leo kafa kwa Kudungwa mshale, kuuana eti ndiyo kilio cha wanasiasa. Siasa zinaharibu maisha.
 
Tundu Lissu, Azory Gwanda, Ben Saanane, Mawazo, nao yaweza ikawa sio siasa.
Mbona hujamtaja Ndugu yetu Mhe. CHACHA WANGWE na muuaji wake Bw. MALYA baada ya kutekeleza huu uovu mmempa cheo hapo hapo CHADEMA. Hili tukio wenye akili wanajua baadhi ya Mauaji wanayafanya CHADEMA wenyewe ili kulinda wadhifa wa Mwenyekiti au Kutafuta Attention/KICK ya Kimataifa kuombea Misaada.
 
Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana!

Tunaishi kwenye nyakati ambazo uhai na utu wa mwanadamu unalinganishwa na fedha au madaraka!

Hizi ni nyakati ambazo ni ngumu kumtofautisha mwanadamu na mnyama wa mwituni kimatendo!

Ni nyakati ngumu kwa wajawema na wapenda haki na amani

Mungu atulinde kwenye nyakati hz ngumu na za tabu!
 
Mbona hujamtaja Ndugu yetu Mhe. CHACHA WANGWE na muuaji wake Bw. MALYA baada ya kutekeleza huu uovu mmempa cheo hapo hapo CHADEMA. Hili tukio wenye akili wanajua baadhi ya Mauaji wanayafanya CHADEMA wenyewe ili kulinda wadhifa wa Mwenyekiti au Kutafuta Attention/KICK ya Kimataifa kuombea Misaada.
hii ni hoja fikirishi inayota mawazo yakinifu
 
Back
Top Bottom