Dodoma: Ajali ya gari la CAG, yaua watu 7 baada ya kugongana na gari la NSSF

Acha maneno machafu Mkuu?kwa hiyo na mimi niliopoteza ndugu zangu Wa 3 huko msata juzi ni kilio cha watanzania tafakari mkuu sio kila hoja unachangia kishabiki
 
Basi ile njia ya kulipia ingejengwa kuelekea huko kuwanusuru walio wengi, naona serikali inahangaika na madereva wakasome badala ya kutafuta namna nzuri ya kubadili tabia za madereva kuepuka ajali.

Mbaya zaidi watumiaji wengine wa barabara hawana haki pale yanapotokea magari ya serikali

Ipo haja ya magari ya serikali kufungwa machine maalumu za kurekodi mwenendo wa madereva wao kwasababu wengi wanaokufa kwa ajali ni abiria wasio na hatia, ukiwauliza madereva wanasema wanalazimishwa na maboss kuwahi waendako.
Kiukwel magar ya serikali yanakimbia sana yaani hayafuati alama za barabarani wala nini haswa ya viongozi.
 
Kiukwel magar ya serikali yanakimbia sana yaani hayafuati alama za barabarani wala nini haswa ya viongozi.


Na wao wanasikia malalamiko ya raia lakini hakuna anayejali kuchukua hatua
 
yani dua LA KUKU kwa udereva WA Stk!?? Hahaaa nina mzidi salary zaidi ya Mara 10 Aiseee you driver cum messenger nikuonee wivu!?? Idiot
Hata unizid mshahara mara elfu,hilo mimi sijali
As long natimiza wajibu wangu na naipenda kazi yangu bhass!
 
Back
Top Bottom