Dododma sokoni hali si shwari.....jamaaa wamelizunguka soko na mabomu kama kawaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dododma sokoni hali si shwari.....jamaaa wamelizunguka soko na mabomu kama kawaida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mirindimo, Mar 6, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Tangu jana inasemekana kua kulikua na mgogoro kati ya wafanyabiashara na uongozi wa soko , leo hii asubuhi hali si shwari na kwa mjibu wa shuhuda askari wa ghasi manake hawa sina hakika kama hua wanatuliza ghasia,ila ni askari wa ghasia,tayari wamezunguka soko na mabomu yao mkononi wanasubiri waambiwe ng'aaaaaaaata waanze kazi......alie maeneo hayo picha pleaseeeeeee:photo:
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  chanzo hasa ni nini?
   
Loading...