Documentary and video bussiness

MKITO

Member
Oct 8, 2010
52
7
JE UMEHANGAIKA KUPATA WATAALAM WALIOBOBEA
TUNATENGENEZA DOCUMENTARY,
VIPINDI VYA RADIO NA TV,
VIDEO ZA MIZIKI YA KIZAZI KIPYA NA NYIMBO ZA DINI,
TUNATENGENEZA FILAM
TUKO MAENEO YA KIWALANI ILALA-DAR ES SALAAM KAMPUNI IMESAJILIWA NA NI WALIPA KODI(VAT)
pleas call

0787 672 881

GHARAMA NAFUU KWA BIDHAA BORA
 
pleas call 0787 672 881
MKITO, kwanza karibu JF, umeona hii ndio njia bora ya kutangaza biashara yako?, si ungesema unafanya nini, uko wapi, hiyo headline labda wewe ndio unatengeneza hizo documentary, ama unashida na watengeneza documentary, hiyo ya kuweka tuu simu, siyo njia bora ya kujitangaza.
 
Pasco tunamkaribisha Mkito. Ngoja nijizuie kutumia lugha kali. Acha niseme kidogo. Watanzania bwana, tuna tatizo la porojo. Tukikosa nafasi za biashara tunaanza kulaumu seriakli na wananchi wa Kenya. Sasa hapa Mkito keleza nini? Ni yeye ndo anatoa huduma au anataka?

Mi nadhani angalau angesema haya:

  1. Anatoa huduma au anahitaji huduma (na maelezo kidogo)
  2. Kama anatoa, ofisi ziko wapi
Watanzania tuchangamke, Wakenya wakitoa matangazo mazuri na wakapewa kazi tusilalamike.
 
Back
Top Bottom