hiyo hali inanipataga ata mmBrothers n' Sisters!
Lolypop napata maumivu makali upande wa kulia chini kidogo ya mbavu, ambayo yanakwenda mpaka mgongoni. Hali hii hunitokea baada ya kula kama nimekaa muda mrefu bila kula.
Je ni vidonda vya tumbo au ini linahitilafu?
hiyo hali inanipataga ata mm
na ulcers nshapima nkaambiwa hamna
ini nishapima nkaambiwa liko fresh
pole mkuu, tusubiri ushauri wa kitu kingne hapa
Uliwahi kufanya CT scan au ultrasound?hiyo hali inanipataga ata mm
na ulcers nshapima nkaambiwa hamna
ini nishapima nkaambiwa liko fresh
pole mkuu, tusubiri ushauri wa kitu kingne hapa
nope sijawai..Uliwahi kufanya CT scan au ultrasound?
You may need surgery to remove the gallbladderWanauita huo ugonjwa "Gallstones"
GALLSTONES
What they feel like: A sharp pain in your upper middle abdomenthat moves to your right side, under your rib cage. The pain can worsen after eating.
What they feel like: A sharp pain in your upper middle abdomen that moves to your right side, under your rib cage. The pain can worsen after eating.
Fix it: If the pain doesn't go away in a few hours or you're running a fever or vomiting, go to the doctor. She can diagnose gallstones via CT scan or ultrasound. You may need surgery to remove the gallbladder.
Jaribu kufanyia utafiti hizo gallstones, muulize daktari kama inaweza kuwa hiyo uone anasemaje.Ukiweza fanya hiyo CT scan for gallstones.nope sijawai..
Usihofu, you may or may not(may sio must) need it.Ila hata ikibidi usiogope, God is with you.You may need surgery to remove the gallbladder
aisee
ahsante mkuu kwa ufafanuzi, ubarikiweJaribu kufanyia utafiti hizo gallstones, muulize daktari kama inaweza kuwa hiyo uone anasemaje.Ukiweza fanya hiyo CT scan for gallstones.
Licha ya kuwa maumivu yake huwa yanaisha haraka au mgonjwa kuumwa kwa nadra sana, inashauriwa kupata matibabu mapema iwezekanavyo.So usihofie kutafuta tiba haraka iwezekanavyo, hata kama itabidi kufanyiwa upasuaji au tiba nyingine, msiogope.Hiyo ni sehemu tuu ya matibabu for your well being.Poleni and i pray that mpate utatuzi wa hili tatizo.
cc: lolypop
Hakuna kitu naogopa kama surgery ndugu yanguWanauita huo ugonjwa "Gallstones"
GALLSTONES
What they feel like: A sharp pain in your upper middle abdomenthat moves to your right side, under your rib cage. The pain can worsen after eating.
What they feel like: A sharp pain in your upper middle abdomen that moves to your right side, under your rib cage. The pain can worsen after eating.
Fix it: If the pain doesn't go away in a few hours or you're running a fever or vomiting, go to the doctor. She can diagnose gallstones via CT scan or ultrasound. You may need surgery to remove the gallbladder.
Nimeingia google nimesoma kweli Bradha yupo sahihihiyo hali inanipataga ata mm
na ulcers nshapima nkaambiwa hamna
ini nishapima nkaambiwa liko fresh
pole mkuu, tusubiri ushauri wa kitu kingne hapa
Nakuelewa, ila kama ikihitajika kama sehemu ua tiba itabidi tuu. nyahinga jr ameshauri vizuri pia.Hakuna kitu naogopa kama surgery ndugu yangu
Asanteni sana kwa ushauri ndugu zanguNakuelewa, ila kama ikihitajika kama sehemu ua tiba itabidi tuu. nyahinga jr ameshauri vizuri pia.