Doctor Strange in the Multiverse of Madness film

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,673
106,770
Hello y’all

Shuleni tulifundishwa kwamba kazi ya fasihi ni kufundisha, kuonya, kuburudisha na kukosoa, lakini pia kuna phrase moja inasema kwamba “Literature doesn’t exist in Vacuum” . kwamba fasihi haiwezi kutokea kwenye sehemu ombwe, sehemu isiyokua na kitu wala watu. Hivyo ili fasihi itemize dhima yake ya kuonya, kuburudisha,kufundisha na kukosoa lazima kuwe na watu. Watu ambao watakosolewa na kuburudishwa na kufundishwa juu ya mambo yanayotokea kati yao.

Ili uitazame muvi hii uilewe inabidi uangallie Series ya WandaVision, Loki, What if..? na Spiderman No way home kwa sababu matukio yaliyotokea kwenye series hizo ndio yanaendelezwa kwenye muvi hii. Waigizaji wengi wameigiza different version of their character, Benedict Cumberbatch kacheza character karibia tano au zaidi yeye mwenye Strange Supreme, Defender Strange, Zombie strange, Doctor strange nk.

Nimependa zaidi walivyomchukua my favorite actor John Krasinski kutoka kwenye muvi ya A Quite Place kucheza kama Reed Richard (Mr.Fantaststi).

Nawatakia utazamaji mwema mtakaoweza kwenda Cinema, Nasikitika sitaweza kuitazama kesho due to my location.

Cc
Dream Queen Kunguru wa Manzese Jorge WIP Warrior iam Groot new gal Girl Lovelucky Mbeya Girl allan248 Xaph87 Marc Spector @Calvin_McWon

FB_IMG_16493668580380337.jpg

FB_IMG_16514888192471542.jpg
 
Sam Raimi katisha humo ndani ni mwendo wa kunyongwa nyongwa tu bila huruma.
 
Hello y’all

Shuleni tulifundishwa kwamba kazi ya fasihi ni kufundisha,kuonya,kuburudisha na kukosoa, lakini pia kuna phrase moja inasema kwamba “Literature doesn’t exist in Vacuum” . kwamba fasihi haiwezi kutokea kwenye sehemu ombwe, sehemu isiyokua na kitu wala watu. Hivyo ili fasihi itemize dhima yake ya kuonya, kuburudisha,kufundisha na kukosoa lazima kuwe na watu. Watu ambao watakosolewa na kuburudishwa na kufundishwa juu ya mambo yanayotokea kati yao.

Leo may 6 2022 itaonyeshwa muvi ya Doctor Strange in multiverse of Madness, ambayo ni mwendelezo wa Doctor Strange iliyotoka 2016. Baada ya kusubiria takribani miaka mitatu na kuwa excited for 5 months finally the long wait is over, our dinner has been served –ready…..Kama nilivyosema hapo juu kusuhu fasishi basi mambo yanayotendeka katika kazi hii ya fasihi yana uhalisia karibia 70% katika maisha halisi.

Kwa watazamaji wapya muvi inamuhusu daktari wa upauaji wa ubongo /Neuro Surgeon Stephen Strange (PHD) anapata ajali mbaya inayopelekea mikono yake kua mibovu kwa kuharibika kwa neva. Katika kutafuta tiba ya kuponya mikono yake ili aendele na shughuli zake za upasuaji akaelekezwa kwa eneo wanalotibu kwa magical power na mitishamba. Mganga mkuu wa eneo hilo akamuona anafaa since anaelimu ya sayansi akichanganya na elimu ya kiganga basi atakua mganga mzuri. Mwisho wa siku Stephen strange anafundishwa na kua mganga mkuu wa ambaye anatakiwa kupambana na viumbe vya ajabu kutoka dunia zingine na kuzimu kupambana nazo.

Ili uitazame muvi hii uilewe inabidi uangallie Series ya WandaVision, Loki, What if..? na Spiderman No way home kwa sababu matukio yaliyotokea kwenye series hizo ndio yanaendelezwa kwenye muvi hii. Waigizaji wengi wameigiza different version of their character, Benedict Cumberbatch kacheza character karibia tano au zaidi yeye mwenye Strange Supreme, Defender Strange, Zombie strange, Doctor strange nk.
Nimependa zaidi walivyomchukua my favorite actor John Krasinski kutoka kwenye muvi ya A Quite Place kucheza kama Reed Richard (Mr.Fantaststi).

Nawatakia utazamaji mwema mtakaoweza kwenda Cinema, Nasikitika sitaweza kuitazama kesho due to my location.

Cc
Dream Queen Kunguru wa Manzese Jorge WIP Warrior iam Groot new gal Girl Lovelucky Mbeya Girl allan248 Xaph87 Marc Spector @Calvin_McWon
View attachment 2213125
Hii movie ni mbaya sijapata kuona marvel phase 4 naona movie ni eternals tu. Aiseee nimeingaloa Mara moja tu sitorudia tena
 
Marvel wameboronga hiii movie aisee

Action zote za doctor strange na Wanda ni fupi na mbovu Jana ndio nimeona maajabu ya Supreme strange kukimbizana na Wanda kwa miguuu aisee

Nimependa scene moja tu ya zombie doctor strange vs Wanda aisee
 
Movies nyingi za Marvel huwa najaribu lakini wapi. Hapa nasubiri Top Gun inatoka tarehe 25 kama sijasahau, hiyo ndio natarajia burudani
 
Marvel wameboronga hiii movie aisee

Action zote za doctor strange na Wanda ni fupi na mbovu Jana ndio nimeona maajabu ya Supreme strange kukimbizana na Wanda kwa miguuu aisee

Nimependa scene moja tu ya zombie doctor strange vs Wanda aisee
Yani ni kichekesho . Wanda kajua kuwatwanga aseee. Si illuminat wala sio Strange mwenyewe.
 
You Sons of Gun, Noooooo Spoilers. Keep the hands on your self, msituhadithie mnatuharibia uhondo

FB_IMG_16515126373916720.jpg

FB_IMG_16504867365498044.jpg
 
You Sons of Gun, Noooooo Spoilers. Keep the hands on your self, msituhadithie mnatuharibia uhondo

View attachment 2213213
View attachment 2213215
sio uhondo kiukweli jamaa wamezingua sio siri mie ni fun wa marvel kindaki ndaki hio movie mm nimeipata Jana full

Characters wote wa marvel hakuna ninae mkubali kama doctor strange napenda tricks zake ila kwenye hiii Wanda amekua kama anapigana na watoto kidogo professor X alijaribu, hadi captain marvel aliona cha moto dahhh kidogo hata America chaves aliweza pitisha pitisha

Doctor strange akaona isiweshida wewe bibie upigiki wakamuweka kwenye mirror dimension Wanda katoka kama bafuni strange akaona isiwe shida akaamua kuingia kwenye mwili wa doctor strange alie kufa

Nataka mechi Kati ya scarlet witch na Jean grey
 
Hello y’all

Shuleni tulifundishwa kwamba kazi ya fasihi ni kufundisha,kuonya,kuburudisha na kukosoa, lakini pia kuna phrase moja inasema kwamba “Literature doesn’t exist in Vacuum” . kwamba fasihi haiwezi kutokea kwenye sehemu ombwe, sehemu isiyokua na kitu wala watu. Hivyo ili fasihi itemize dhima yake ya kuonya, kuburudisha,kufundisha na kukosoa lazima kuwe na watu. Watu ambao watakosolewa na kuburudishwa na kufundishwa juu ya mambo yanayotokea kati yao.

Leo may 6 2022 itaonyeshwa muvi ya Doctor Strange in multiverse of Madness, ambayo ni mwendelezo wa Doctor Strange iliyotoka 2016. Baada ya kusubiria takribani miaka mitatu na kuwa excited for 5 months finally the long wait is over, our dinner has been served –ready…..Kama nilivyosema hapo juu kusuhu fasishi basi mambo yanayotendeka katika kazi hii ya fasihi yana uhalisia karibia 70% katika maisha halisi.

Kwa watazamaji wapya muvi inamuhusu daktari wa upauaji wa ubongo /Neuro Surgeon Stephen Strange (PHD) anapata ajali mbaya inayopelekea mikono yake kua mibovu kwa kuharibika kwa neva. Katika kutafuta tiba ya kuponya mikono yake ili aendele na shughuli zake za upasuaji akaelekezwa kwa eneo wanalotibu kwa magical power na mitishamba. Mganga mkuu wa eneo hilo akamuona anafaa since anaelimu ya sayansi akichanganya na elimu ya kiganga basi atakua mganga mzuri. Mwisho wa siku Stephen strange anafundishwa na kua mganga mkuu wa ambaye anatakiwa kupambana na viumbe vya ajabu kutoka dunia zingine na kuzimu kupambana nazo.

Ili uitazame muvi hii uilewe inabidi uangallie Series ya WandaVision, Loki, What if..? na Spiderman No way home kwa sababu matukio yaliyotokea kwenye series hizo ndio yanaendelezwa kwenye muvi hii. Waigizaji wengi wameigiza different version of their character, Benedict Cumberbatch kacheza character karibia tano au zaidi yeye mwenye Strange Supreme, Defender Strange, Zombie strange, Doctor strange nk.
Nimependa zaidi walivyomchukua my favorite actor John Krasinski kutoka kwenye muvi ya A Quite Place kucheza kama Reed Richard (Mr.Fantaststi).

Nawatakia utazamaji mwema mtakaoweza kwenda Cinema, Nasikitika sitaweza kuitazama kesho due to my location.

Cc
Dream Queen Kunguru wa Manzese Jorge WIP Warrior iam Groot new gal Girl Lovelucky Mbeya Girl allan248 Xaph87 Marc Spector @Calvin_McWon
View attachment 2213125
View attachment 2213220
Mwamba naonaga una akili kumbe ni mshabiki wa hizi movie za uongo mwingi
 
sio uhondo kiukweli jamaa wamezingua sio siri mie ni fun wa marvel kindaki ndaki hio movie mm nimeipata Jana full

Characters wote wa marvel hakuna ninae mkubali kama doctor strange napenda tricks zake ila kwenye hiii Wanda amekua kama anapigana na watoto kidogo professor X alijaribu, hadi captain marvel aliona cha moto dahhh kidogo hata America chaves aliweza pitisha pitisha

Doctor strange akaona isiweshida wewe bibie upigiki wakamuweka kwenye mirror dimension Wanda katoka kama bafuni strange akaona isiwe shida akaamua kuingia kwenye mwili wa doctor strange alie kufa

Nataka mechi Kati ya scarlet witch na Jean grey
Kwahyo ni mbaya au nzuri ?

Mimi huku nilipo kwa sasa hakuna cinema

Ngoja niingie online niitafute hata chafu
 
Ni nzuri sana kiongoz tatizo Wameshindwa kumbalance wanda na scarlet witch wamekua hadi movie inakosa mvuto alitakiwa the Supreme doctor strange atie mguu nadhani movie ingekua ya moto sana matokeo yake wametuwekea versions za hovyo hovyo za doctor strange

Watu tulitegemea kuwaona the Supreme Ironman, the Supreme strange,ghost rider ila kwenye hiii movie hawamo

Cha kushangaza captain Carter,black boilt,fantastic 4 na captain marvel wamepigwa na Wanda within a seconds professor X alifanikiwa kuingia kwenye mind ya Wanda ila scarlet witch akamfata huko huko huu ni ujinga kwa kweli

Nilitegemea professor X na Supreme strange kuimaliza kazi ila huyu doctor strange wa dunia yetu Bado anasafari ndefu ukiangalia hiii movie

KWANGU ETERNALS NI BORA KULIKO HIII
 
Mwamba naonaga una akili kumbe ni mshabiki wa hizi movie za uongo mwingi
I’m trying my absolute hardest to see things from your perspective, but I just can’t get my head that far up my ass.

It's doesn't matter ni uongo kiasi gani movies,films ,hazina ukweli so ni ironic muangaliaji movie genre tofauti kumwambia mwenzake anayeangalia genre tofauti anaangalia uongo ni kazi za fasihi Mkuu just enjoy Anyway sc-fiction zinaitaji ubongo so tofauti na hapo utazichukia so the joke is on you brother

Have a nice day sir
 
Back
Top Bottom