KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 545
Alafu ukiwa na mume dokta raha kweli sindano anakuchoma yeye kuliko kwenda kuchunguliwa bureee wallah inaudhi kweli........lol
DR ndodi,Dr Manyaunyau,Mzee mwasapila...Ungejua kuna baadhi ya Doctors hata sindano hawajui kuchoma...!!