Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 7,482
- 12,160
Kirefu chake na iko wapi mkuu!Alishafungua tayari TMH hospital
Kirefu chake na iko wapi mkuu!Alishafungua tayari TMH hospital
Kirefu sijui ila ipo sinza afrikasanaKirefu chake na iko wapi mkuu!
Maro ni jina la kichagga au kanda maalum Tarime? Maana kuna Maro kadhaa nimewaona na wote ni Musoma-lineTukiwaambia Wachaga tunapiga kazi mnakuja kuhororoja hapa na kusema wachaga ni wezi sasa mwangalie kijana mbichi wa kichaga anavyo piga mzingo! Mara yupo Tanzania mara South Africa mara China mara Japan mara Marekani! Vijana tutafute tuachane na siasa na uvivu na majungu
You are not serious mkuuAlikuwa Japan anasoma masters of public health
kwingine kote nimekuelewa ila sentensi ya mwisho umenichanganya kidogo maana hata Dr.Maro anafanya kaz ya udaktari na clouds na analipwa huo huo mshara unaosema vijana tusiutegemee....anyway point zako ni za msingi sana.Na kesho akifungua hospital yake na ka range kake wataanza kusema jamaa ni sembe ilimfikisha hapo alipo! vijana tusikubali kutengemea tu mshahara tujiongeze
Napenda unavyojinasibu na utusi nipo kigoma mwingine ukumwita mtusi hapendiMtutsi kutoka nchini Rwanda tangia lini akageuka kuwa tena Msukuma Mkuu?
Ni MD product ya MUHAS hiyo.
Mwanaume hawi na kazi moja tu kama chanuo.
Under 18.....Habari zenu wakuu!
Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds Fm, Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?
Na kama ni daktari kweli, anawezaje kumudu kazi zote mbili?
Kazi gani nyingine wanafanyaUlizeni wabongo wengi wanafanya kazi gani China!! Alafu wewe kilaza unajifanya unamjua mtu in and out!
Siku Ina masaa 24, itawezekanaje awe China anauza magari, awe Japan anasoma alafu awe Tanzania anatibu wagongwa? Upuuzi huu
Tanzania memorial hospitalKirefu chake na iko wapi mkuu!
Japan alikua anasoma PhD ya MD ila kamaliza nowmara nyingine anareport kutoka japan
Hivi misanya bingi yupoKwa hiyo ndio mtangazaji pekee mwenye PHD bongo achana na wale waliojiendeleza walipozipata PHD wakaachana na utangazaji na kubadili kazi kama Dr. Misanya wa radio one, Dr. Mkoko aliyetokea RFA.
Alifariki zaidi ya miaka 5 iliyopita. Alikuwa mhadhiri UDSM.H
Hivi misanya bingi yupo
Ova