Doctor Isaac Maro ni nani?

Tukiwaambia Wachaga tunapiga kazi mnakuja kuhororoja hapa na kusema wachaga ni wezi sasa mwangalie kijana mbichi wa kichaga anavyo piga mzingo! Mara yupo Tanzania mara South Africa mara China mara Japan mara Marekani! Vijana tutafute tuachane na siasa na uvivu na majungu
Maro ni jina la kichagga au kanda maalum Tarime? Maana kuna Maro kadhaa nimewaona na wote ni Musoma-line
 
Na kesho akifungua hospital yake na ka range kake wataanza kusema jamaa ni sembe ilimfikisha hapo alipo! vijana tusikubali kutengemea tu mshahara tujiongeze
kwingine kote nimekuelewa ila sentensi ya mwisho umenichanganya kidogo maana hata Dr.Maro anafanya kaz ya udaktari na clouds na analipwa huo huo mshara unaosema vijana tusiutegemee....anyway point zako ni za msingi sana.
 
Habari zenu wakuu!

Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds Fm, Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?

Na kama ni daktari kweli, anawezaje kumudu kazi zote mbili?
Under 18.....
 
Ulizeni wabongo wengi wanafanya kazi gani China!! Alafu wewe kilaza unajifanya unamjua mtu in and out!
Siku Ina masaa 24, itawezekanaje awe China anauza magari, awe Japan anasoma alafu awe Tanzania anatibu wagongwa? Upuuzi huu
Kazi gani nyingine wanafanya
 
Nashindwa kumwelewa mtoa mada anaelezwa haelewi unataka uambiwe ni Sangoma wa Gambushi Shinyanga nini? Huyo hayajui wala hayaamini.
 
Dr.Isaac Maro a Doctor with some swaggs...Huyu jamaa ni Daktari by Professional na alianza kupenda udaktari zamani akiwa mdogo alipataga shida so akalazwa hospital,So the way madktari walivokua wanamhudumia alivutiwa sana ndo akaanza kuutamani udaktari,Kuhusu suala la media,alianza kua na interest na media alipokua akiskiliza Njia panda ya Seba Maganga akaamua amuombe awe anafanya segment ya Afya.com pale Njia panda,Aliendelea hivo hadi alipoachiwa kipindi kizima na Seba Baada ya yeye kuondoka,Amemaliza PhD huko Japan akafungua na Kituo cha afya TMH pale Sinza Afrikakidogo...Imeisha iyoo Bablai
 
Kwa hiyo ndio mtangazaji pekee mwenye PHD bongo achana na wale waliojiendeleza walipozipata PHD wakaachana na utangazaji na kubadili kazi kama Dr. Misanya wa radio one, Dr. Mkoko aliyetokea RFA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom