Cesar
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 143
- 147
Acha ukabila Wa kiboyamchagga yule,lazima ajiongeze....
Acha ukabila Wa kiboyamchagga yule,lazima ajiongeze....
Bahati nzuri hunifahamu mim ni mchoma mkaaKwa hiyo na wewe unapiga kazi huku Jf??
asante kwa jibuNi MD product ya MUHAS hiyo.
Mwanaume hawi na kazi moja tu kama chanuo.
Alikuwa Japan anasoma masters of public healthmara nyingine anareport kutoka japan
Dokta lazma aongee kwa lugha laini ya kumdekeza mgonjwa, kabla hujameza dawa umeshapona kwa lugha ya dokta tuuhongera yake bana naihehimu taaluma yake. ila ananiboa kitu kimoja anapoonge kwa KUDEKA me hapo kwa kweli sipendi ila sehemu nyingine yupo poa sana MD si mchezo pia na tenda anazopiga huko japani kuingiza mapesa.
huyu jamaa, nilifahamiana naye na kuanza kuwasiliana baada ya mimi kuwa ninanunua gari japan, ikatokea shida fulani, rafiki yangu mwingine yuko Japan akaniunganisha naye ili wasaidiane kutatua ile shida nipate gari au fedha irudi salama. tulikuwa tumeshatuma zaidi ya dola 14,000 huko, tulizipata salama kabisa. ni mjanja lakini mwaminifu, nilivyojifunza kwake.
BILA SHAKA WEWE NI MSUKUMAHiyo Elimu ya " CLINICAL OFFICER " inatolewa wapi? Naipenda sana na Mimi siku moja nataka kuja kuwa CLINICAL OFFICER Mkuu.
CHANUO HALINA KAZI MOJA MKUUNi MD product ya MUHAS hiyo.
Mwanaume hawi na kazi moja tu kama chanuo.
BILA SHAKA WEWE NI MSUKUMA
Ni MD product ya MUHAS hiyo.
Mwanaume hawi na kazi moja tu kama chanuo.
Doctor mzuri sana huyo,kanifundisha sana kuhusu madawa
CHANUO HALINA KAZI MOJA MKUU
sentensi yako ina ukweli mkuu,Dokta lazma aongee kwa lugha laini ya kumdekeza mgonjwa, kabla hujameza dawa umeshapona kwa lugha ya dokta tuu
KUCHANA NA KUFUMUA NYWELE ZILIZOSUKWA...Kazi zingine ni zipi?
KUCHANA NA KUFUMUA NYWELE ZILIZOSUKWA...