Doctor Isaac Maro ni nani?

huyu jamaa, nilifahamiana naye na kuanza kuwasiliana baada ya mimi kuwa ninanunua gari japan, ikatokea shida fulani, rafiki yangu mwingine yuko Japan akaniunganisha naye ili wasaidiane kutatua ile shida nipate gari au fedha irudi salama. tulikuwa tumeshatuma zaidi ya dola 14,000 huko, tulizipata salama kabisa. ni mjanja lakini mwaminifu, nilivyojifunza kwake.
 
hongera yake bana naihehimu taaluma yake. ila ananiboa kitu kimoja anapoonge kwa KUDEKA me hapo kwa kweli sipendi ila sehemu nyingine yupo poa sana MD si mchezo pia na tenda anazopiga huko japani kuingiza mapesa.
Dokta lazma aongee kwa lugha laini ya kumdekeza mgonjwa, kabla hujameza dawa umeshapona kwa lugha ya dokta tuu
 
huyu jamaa, nilifahamiana naye na kuanza kuwasiliana baada ya mimi kuwa ninanunua gari japan, ikatokea shida fulani, rafiki yangu mwingine yuko Japan akaniunganisha naye ili wasaidiane kutatua ile shida nipate gari au fedha irudi salama. tulikuwa tumeshatuma zaidi ya dola 14,000 huko, tulizipata salama kabisa. ni mjanja lakini mwaminifu, nilivyojifunza kwake.

Baada ya kufanikiwa kuzipata dola 14,000 zako je uliamua kununua hilo gari kwenye yadi zetu bongo au?
 
Ulizeni wabongo wengi wanafanya kazi gani China!! Alafu wewe kilaza unajifanya unamjua mtu in and out!
Siku Ina masaa 24, itawezekanaje awe China anauza magari, awe Japan anasoma alafu awe Tanzania anatibu wagongwa? Upuuzi huu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom