Mbona anaezungumziwa Mahalu na mtowa mada anasemaq kuwa JK alishiriki kumfanyia zengwe? Basi hata kutema mate lazima ukchungulie tundu la choo? Kweli una ganzi na JK!Kwani JK kaanza kuiba leo? Hili ni jizi lililobobea haiwezekani tuwe tunaibiwa kila siku namna ile ile bila wezi kukamatwa. Angalia FBI files jinsi wanavyoshika wezi. Tukitumia style yao tutamkamata chacha hivi.