Doa la vipepeo (Jasusi wa kweli hashindwi na codes za jasusi muovu)

Huwa nazinunua saaana na mimi nadhani ni mteja wako namba moja,
Sema tuu hii jf ina nengi saana
Kwa sababu unapenda upewe bure!!

Nunua mkuu,.

Okoa maisha ya mwandishi ili uendelee kusoma na kuondok jumla ukijua yupo hai.
 
RIWAYA; DOA LA VIPEPEO

NA; BAHATI MWAMBA

SIMU; 0758573660.

Honda alishindwa kujua mahusiano ya watu wale, lakini alishindwa kujua umuhimu wa kocha yule katika sakata lile, kiasi afuatwe na watu wawili kwa nyakati sawa ama tofauti.

Kama ana umuhimu, basi kifo chake kitakuwa sawa na kifo cha bi Mwendampya.

Hakika Honda alitatizika.

Aliamua kuondoka mazingira yale, huku akutarajia kwenda nyumbani kwa Bi. Mwendampya.

Na huko alikutana na jambo jipya tena.

---------

Kutoka nyumbani kwa kocha, hadi nyumbani kwa Bi. Mwendampya, hakukuhitaji usafiri zaidi ya hatua zako chache tu.

Honda aliingia nyumbani kwa Bi Mwendampya akiwa kama mwombolezaji.

Aliungana na kundi kubwa la watu mbalimbali waliokuwa pale; viongozi wa serikali na maofisa kadhaa wa jeshi la polisi na Magereza, wanajeshi wa vyeo vya juu nao walikuwa sambamba na waombolezaji wengine pia.

Honda alikuwa na kazi moja tu, kuhakikisha anaona kile ambacho mtu mwingine hawezi kuona.

Wachezaji wa timu ya Azan na baadhi ya viongozi, nao walikuwa wamejumuika kwa ajili ya mazishi.

Honda alijaribu kuzungusha macho yake kila pande, lakini hakuna jambo geni wala jambo la kutisha aliloona linampa shaka.
Aliendelea kukaa pale kwa dakika kadhaa, kisha alipitisha shauri azunguke maeneo mengine zaidi ili aweze kuona kile alichohisi anaweza kuona.

Alijichanganya na kundi la wachezaji lilokuwa nyuma ya nyumba.

Alitulia akisikiliza maongezi ya wachezaji, katika mazungumzo yote hakuna jambo geni alilosikia na, wachezaji walikuwa wanajadili hatima ya uongozi wa timu yao.

Masikio ya Honda yakiwa yanasikia malumbano yale macho yake yaliona jambo alilotilia shaka.

Kulikuwa na dirisha lilokatwa kidwara. Ni dhahiri kilitumika kitu maalumu kukata kioo cha dirisha lile. Aliamua kutizama upande wa juu wa ukuta.

Aliona nyaya zikiwa zimekatwa, hiyo ilimpa jibu ya kuwa hata Mwendampya nae amehujumiwa uhai wake,lakini kwa nini wahujumiwe viongozi wa timu ile?

Hakuwa na jibu, alihitaji kulipata jibu lenye maana na kumuondoa kwenye kiza alichoingia.

Honda alitamani kuingia ndani ya nyumba, lakini umati wa watu ulimfamya asite kufanya vile.

Akiwa bado anatafakari ujuzi wa muuaji, mara alihisi kuna jambo halikuwa sawa maeneo aliokuwapo.

Alihisi kuna mtu anamtizma kutoka mahali fulani.

Alizungusha macho yake taratibu, hatimae aliona yule aliemhisi anamtizama.

Kweli kulikuwa na mtu akimtizama na, mtu yule alipogundua anatizamwa na Honda nae aliamua kuondoka eneo alilokuwapo.
Honda hakutaka kumwacha mtu yule, nae aliamua kumfuata taratibu sana bila kumpoteza.

Mtu yule alianza kugeuka kila mara, dhahiri alijawa na wasiwasi mwingi.
Honda alilitambua hilo.

Mtu yule alitoka nje ya ua, alianza kuambaa na magari yaliokuwa yameegeshwa kwa wingi pembezoni mwa barabara. Honda nae alizidi kumkaribia zaidi na, hatimae mtu yule alianza kutimua mbio kutoka eneo lile.

Honda nae aliamua kumfuata kwa nyuma huku akijaribu kujipa kasi zaidi kuliko anaemkimbiza.

Mbio za Honda zilizaa matunda chanya, alifanikiwa kumfikia mtu yule, kisha akajirusha mzima mzima na kumpiga kikumbo mtu yule aliekuwa amevaa koti zito licha ya kuwa na jua kali.

Honda alimpa konde zito lilomtoa kamasi yule mtu. Mtu yule nae hakuonekana kuwa na ujuzi wa kukwepa wala kurusha kofi na alikuwa analia kama mtoto mdogo huku akiomba radhi.

Honda alisimama na kumshangaa mtu yule aliekuwa amejikunyata chini huku akijaribu kuziba sura yake kwa mikono yake.

“Wewe ni nani?” Honda alihoji kwa ukali.

“Nisamehee kaka, nisamehe” Mtu yule alijibu kwa kuombeleza huku akiomba msamaha.

“Sawa, nikusamehe kwa lipi na wewe ni nani!” Honda alihoji tena.

“Naitwa Kindo kaka.!” Alijibu yule mtu.

“Nikusamehe kwa lipi sasa!” Honda alihoji.

“Nilitumwa kukufuatilia.”

“kunifuatilia!!?, kwa nini ulinifuatilia.”

“Sijui, mimi nilitumwa tu.”

“Nani alikutuma”

“Simjui kaka”

Honda alishangaa.

“Kwa nini usimjue mtu aliekutama?” Honda alimhoji.

“Nilikutana nae leo tu na hakunambia jina lake”

“Ulikutana nae wapi?”

“Pale alipopatia ajali afande Juli”
Honda alinyamaza kwa sekunde kadhaa.

“Kwa hiyo ulinifuatilia tangu kule?” Hatimae alihoji.

“Ndio” Alijibu Kindo.

“Alikwambia kwa nini unifuatilie!”

“Hapana, ila alinambia nimfuatilie yeyote atakae okota bahasha ndogo na kuifadhi.

Honda alinyamaza kidogo, alikuwa anayapima maelezo ya yule mtu, hakika alikuwa sahihi na hakuonekana kuwa na udanganyifu wowote.

“Baada ya kunifuatilia, alipanga mkutane wapi?” Honda alihoji.

“Alinambia nitamkuta kwenye gari jeupe lenye namba T580,litakuwa limeegeshwa nje kwenye msiba wa Bi Mwendampya.” Alijibu Kindo.

Honda alitafakari, akaona kwa kuwa alikurupushan na Kindo, basi aliemtuma atakuwa ameshatoweka, la sivyo atakuwa kajichanganya na watu wengine na sio rahisi kumuona.

Honda alimwinua Kindo kisha akamuomba wafuatane kurudi kwenye maegesho ya magari ya watu walioko msibani.

Kindo alimwongoza Honda kukitafuta gari lenye zile namba alizopewa na mtu asie mfahamu.

Macho yao yalikuwa makini na kila gari jeupe waliloliona.

Hatimae waliipata gari yenye namba za usajili T580. Honda alitizama kwa makini gari ile, lakini hakuona kama kuna mtu ndani yake, alipojaribu kuzungusha macho yake pande kadhaa, hakuona mtu yeyote aliefaa kutiliwa shaka.

Honda alimgeukia Kindo.

“Ukimuona utamfahamu?” Honda alihoji.

“Kama atakuwa kavaa yale mavazi, naweza kumkumbuka, japo sio sura yake” Kindo alijibu.

“Nifuate!!” Honda alimuamuru Kindo, walielekea ndani ya uzio wa nyumba ya Bi Mwendampya.

Honda na Kindo walizunguka pande zote za nyumba ile, lakini hakuna sura ambayo Kindo aliitambua wala kuifananisha na sura ya mtu aliempa kazi ya kumfuatilia Honda.

“Sasa tunafanya nini?” Kindo alihoji.

Honda alimtizama kwa tuo, kuna jambo lilimwijia kichwani mwake na aliamua kuuliza.

“Kwa nini unanisaidia!”

“Kwa sababu wewe ni askari na naogopa kuingia matatizoni kwa ukaidi”

“Umejuaje kama mimi ni askari”

“Unanekana tu, lakini alienituma alinambia niwe makini mana wewe ni askari”

Honda alimtizama sana Kindo, lakini hakuna hisia yoyote iliompa hatia kijana yule.

“Unafanya kazi gani!” Hatimae Honda alimuuliza.

“Mi ni Shanta” Kindo alijibu.

“Shanta ndo nani ama kazi ya aina gani!”

“Yani sina kazi maalumu, yoyote nafanya bila kujali mazingira, wala kujali ugumu wake, kitu pekee Shanta asichofanya, ni wizi” Kindo alimjibu Honda.

Honda hakuona kama ni busara kuendelea kuzunguka na Kindo, aliamua kuachana nae kisha alirejea eneo la maegesho, pale ilipokuwa gari aliooneshwa na Kindo.

Aliisogelea, lakini macho yake yaligundua kuna tofauti fulani imejitokeza,tofauti na alivyoiona mwanzo.

Gari ilikuwa imeshuka upande mmoja.

Alisogea taratibu hadi ule upande, alikuta gurudumu moja halina upepo na dhahiri lilitobolewa makusudi.

Honda alishangaa, hakujua ni nani aliefanya tukio lile, lakini pia aligundua adui yake anamfahamu na, anapiga hatua sambamba nae na hiyo haikuwa hatua nzuri kwake, wala haikuwa busara kuendelea kucheza na mtu anaemchezesha bila kujua.

Alijaribu kuangaza kila pande lakini hakuona mtu wa kumtilia shaka, watu wachache waliokuwa pale, walikuwa wanaingia ama kutoka ndani ya magari yao.

Honda alihisi mtu yule anampa ujumbe kwa njia za aina ile, lakini hayupo mbali na eneo lile, si ajabu yuko kwenye moja ya magari yalioegeshwa pale na anamtizama kila anachofanya.

Honda alitaka kuanza kuondoka pale, mara akili yake ilimkumbusha kama aliona kitu nyuma ya gurudumu lilotoboka.

Alirudi taratibu na kuchungulia; kweli kulikuwa na kibahasha kidogo chenye ukubwa sawa na bahasha aliokuwa nayo mfukoni.

Aliinama kuikota, kisha aliisoma ilivyokuwa imeandikwa.

Hakukuwa na tofauti, kuliandikwa herufi moja na namba “F3” kisha kulikuwa na namba mbili nyingine zilizokuwa zimeandikwa kwa mkono.

Bahasha ile ilikuwa na kitu kwa ndani, Honda aliifungua na kukutana na karatasi nyeupe.
Karatasi ile ilikuwa imechorwa ndege, kisha ikawekwa alama nyekundu na kulifuatilia maneno “JNIA”.

Honda alishindwa kuelewa kwa haraka, aliweka mfukoni mwake huku akizungusha akili yake kwa tabu kubwa, kila alichojaribu kufikiria, aliona ni kama hakihusiani na kile alichokisoma kwenye karatasi ile.

“Ndege na uwanja wa ndege, sasa ina maana gani hii na kwa nini huyu mtu ananizingusha namna hii!” Honda alijiwazia, huku akiondoka maeneo yale na kuelekea kule alikoacha pikipiki yake.

“Alama nyekundu,… anamanisha kuna tukio huko bila shaka, tukio gani sasa…” Alizidi kujiwazia bila kupata jibu sahihi.
Hakika Honda alitatizika, alizidi kuicheza ngoma ya mtu asiemjua, asiejua lengo lake hasa ni lipi.
Hakika ulikuwa mtihani mgumu.
 
SIMU; 0758573660

***

Honda hakutaka kupuuza mawazo yake, bila shaka kulikuwa na ujumbe muhimu huko uwanja wa ndege, alijipa msemo wa “Mwenda bure si sawa na mkaa bure”. Alihitaji kuelekea huko ili walau apate kile ambacho muuaji alitaka kumuonesha..
Lakini Honda alibaki na swali moja la msingi sana.

“Muaji anau kwa sababu gani, analipiza visasi ama kuna kitu anachihitaji kutoka kwa watu anaowaua na asipofanikiwa basi huwamaliza, ama anaua kwa sababu tu, amejisikia kuua.” Lakini wakati anajiuliza hayo, aliona haiwezi kuwa ni visasi ama muaji anaua tu, kuna kitu cha muhimu muuaji anakifanya na kitakuwa na masilahi kwa aliemtuma, lakini pia kuna kitu kilimfikirisha sana.

Kwa hatua aliofikia, ni wazi muuaji hakuwa mmoja, na alieua nyumbani kwa Kocha, sie aliua nyumbani kwa Bi Mwendampya...

Kwa nini!

Kwa sababu alieua nyumbani kwa kocha, alijitahidi kutokuacha alama nyuma, lakini alipoingia mtu wa pili aliacha alama zake kwa kupasua dirisha la choo, pia alipofika nyumbani kwa Bi Mwendampya, aliacha alama kwa kuvunja kioo cha dirisha, japo alivyoua ni kama anaiga uuaji wa mtu alieua nyumbani kwa Kocha.
.
Honda aliona kifo cha Bi Mwendampya, kina walakini mwingi, kuliko kifo cha kocha, kwa sababu kocha anaeweza kuwa kauwawa kwa visasi tu, lakini Bi Mwendampya, ni zaidi ya kisasi bali muaji alitaka kumpa kesi alieua nyumbani kwa kocha..
Honda aliyawaza hayo yote akiwa juu ya pikipiki yake, safari yake ikiwa ni uwanja wa ndege wa JNIA.

Wakati alipokuwa anakaribia Tazara, kuna kitu kilimjia kichwani, haraka aliamua kuegesha pikipiki yake pembeni na kushuka, kisha aliitoa tena ile bahasha yenye mchoro wa ndege na alama nyekundu.

Alifuangua na kutoa karatasi ile, kisha aliirudia kuitizama kwa makini zaidi.

Kuna jambo lilimtatiza kidogo; ile alama nyekundu ilikuwa imechorwa karibu na upande wa kushukia, kwa namna mchoro ulivyoonesha.

Honda alibaki na viulizo vitatu muhimu na vyote vilizidi kumpa tabu katika maamuzi yake.

Alijiuliza; kama ni kuhusu ndege, je! Inatunguliwa? Na kama inatunguliwa ni ndege ya shirika gani na ina kitu gani hadi kufikia hatua ya kuihujumu?. Lakini alijiuliza ni vipi kama kuna abiria muhimu ndani ya hiyo ndege na ndie anaewindwa na anakitu gani kikubwa hadi awindwe kuuwawa na ni nani mtu huyo na anahusika vipi katika mkasa ule ambao ulikuwa unaanza kuchukua sura mpya kila wakati.

Honda alipumua kwa nguvu huku akitizama barabarani na kuona namna dereva wa gari la IST anavyojaribu kuwapiku wenye BMW na Aud waliokuwa mbele yake.

Honda alitabasamu, alijifananisha na dereva yule anaejaribu kukimbizana na magari yenye hadhi na garama kubwa, alijiona ni kama anaejaribu kufuatilia jambo kubwa na lenye hadhi, likiwa na watu makini na wenye kuijua kazi yao kuliko yeye.

Lakini tena alishusha pumzi baada ya kuwapuuza wale wenye magari ya garama, kwa sababu aliamini dereva ndie anaeweza kukipa hadhi chombo chake, anaweza kuwa na IST lakini akawa na ujuzi na staha kubwa kuliko alieko kwenye Aud au BMW na mwisho wa siku dereva wa gari dogo akaonekana wa maana.

Honda aliona si busara kwenda uwanja wa ndege akiwa hajui ni ni ni hasa anachofuata huko.

Simu yake ilipopekelewa, aliomba afahamishwe kama kuna mtu mkubwa yeyote anaeutumia uwanja wa ndege kuondoka ama kutua JNIA.

Baada ya kuomba taarifa hiyo, alitulia juu ya pikipiki yake akijaribu kuwaza hili na lile.

Punde ujumbe ukaingia kwenye simu na, alipoufungua alikutana na picha na jina la aliewahi kuwa mwenyekiti wa bunge la Africa, bwana Eli Sasi.
Bwana Eli Sasi alikuwa amekumbwa na ugonjwa wa tezi dume, upasuaji wake ulikuwa unaenda kufanyika nchini India na baada ya kukaa huko zaidi ya nusu mwaka, siku hiyo alikuwa anarejea nchini na ujio wake ulitangazwa na vyombo mbali mbali vya habari. Eli Sasi alisifika kwa misimamo yake ndani na nje ya bunge la Africa, kiasi watu wengi walimuona shujaa na hata alipostaafu kulitumikia bunge, miaka kadhaa nyuma, bado aliendelea kuwa na umuhimu mkubwa katika siasa za Africa na hakuwahi kupungua umaarufu wake, huku watu mbalimbali wakichukua mfano wake.

Bwana Eli Sasi, wafuasi wake walianza kumpigia chapuo agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Honda alipoipokea taarifa ile, haraka alielekea uwanja wa ndege, ambapo zilibakia dakika chache kabla ndege haijatua.

Kwa kuwa alitumia usafiri wa pikipiki, hakukawia kufika na kutafuta eneo maalumu kwa wanendesha pikipiki kuegesha, nae aliegesha kisha alitembea taratibu hadi sehemu iliokuwa na taxi.

Alienda pale kwa lengo la kukaa eneo zuri ambalo lingwezesha kuona watu wanaotoka,pia lilikuwa eneo zuri ambalo lingetosha kumwezesha kuona nyendo za mtu yeyote asie na wema.

Honda alimfuata dereva taxi mmoja, alimlipa kiasi kadhaa cha pesa kisha aliomba kukaa kwenye gari yake. Baada ya makubaliano hayo, Honda aliingia ndani ya gari na kutulia.

Akiwa kwenye gari, aliona watu wachache wakiwa na mabango yaliondikwa jina la Eli Sasi.

Macho yake yalikuwa yakizunguka kila kona, lakini hakuwa amefanikiwa kabisa kuona mtu yeyote ambae alihisi anaweza kuwa na tatizo ama jambo lenye kutia shaka.

Saa ya Honda ilionesha muda umewadia kwa ndege kuwasili, alikaa vyema kwenye kiti cha gari huku mlango ukiwa wazi na mkono wake wa kushoto ukiwa tayari kwa lolote.

Wapambe wa bwana Eli Sasi, waliendelea kujikusanya pamoja, huku watoto wachache walioandaliwa kwa ajili ya kumpa maua, wakisogezwa karibu.

Kulikuwa na mtoto mmoja aliekuwa anakimbia kujumuika na wenzie, mtoto yule ni kama alichelewa na alikuwa anawahi kujiunga pamoja na wenzake huku akiwa ameshika ua jekundu.

Honda alimsindikiza kwa macho makavu bila kupepesa, hakujua kwa nini alimwangalia sana mtoto yule wa kiume ambae alikuwa amevaa nadhifu, pengine kulilo watoto wote pale.

Kuna jambo jingine ambalo lilimchanganya Honda, ni kama wale wapambe nao walikuwa wanamshangaa yule mtoto, lakini umakini wao kwa yule mtoto ulipungua baada ya kuona msafara wa watu watatu ukitokea.
Wamama walianza kupiga vigelegele na waandishi wa habari walianza kumzonga bwana Eli Sasi.

Honda alimtizama Eli kwa kushangaa kidogo, haiwezekani mgonjwa wa tezi, aliekaa hospitali miezi sita, atoke akiwa na afya yake timamu, ilikuwa inshangaza ila hakuna aliejua ukweli zaidi ya ule wa kuambiwa bwana Eli Sasi alikuwa amefanyiwa upasuaji wa tezi dume nchini India.

Umakini wa Honda ulipungua, kwa kuwa alikuwa anamtafakari mgonjwa kuliko lile lilokuwa limempeleka pale.

Na hilo ndilo likawa kosa lake kubwa pengine kuliko wakati wowote..

*////

SASA WAWEZA KUPATA RIWAYA HII KWA TSH 2000/=.

NAMBA ZA MALIPO

0758573660 M PESA

0658564341 TIGO PESA (HAIPATIKANI, UKITUMA PESA INAFIKA..INATUMIKA WHATSAPP )

0624155629 HALO PESA.

KARIBU
 
Back
Top Bottom