Do you remember?

Haaaahaaa Enzi zetu wacoet tulipata shida kwa watoto wa udbs
Ebhana ilikuwa ni noma ... Mtoto Jack kanizungusha Sana na drawing board langu . Chuo Safi Sana.. I remember that life.. boom life na warembo wa UDBS
 
Ebhana ilikuwa ni noma ... Mtoto Jack kanizungusha Sana na drawing board langu . Chuo Safi Sana.. I remember that life.. boom life na warembo wa UDBS
😁😁😁Jack huyu alikuwa haombi hela wala nn yaani hata huelewi anataka nn, wanasema a woman who doesn't ask for anything deserves everything ndio huyu sasa, alikuwa kapanda hewa na mwili rangi ya chocolate kama mganda, halafu hana Marengo all the time utamkuta anatabasam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom