Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,635
Hii ndiyo kampuni pekee inayojiamini kuwa imeshikilia music industry na entertainment ya bongo kwa ujumla lakini do you know that hawa jamaa ndio waliofanikisha kuua ile project ya Shigongo ya 'mkali wa rhymes'?
Walifanikiwa kwa kuwahonga baadhi ya wasanii waliokuwa nyota ili wajitoe katika mashindano hayo ili wao wapate nafasi ya kushika soko vilivyo that's why wakaanzisha Fiesta.
These guys pia ndio wameichakachua ile 'ZINDUKA' ya Sugu. And finally tunawaona wakimwandalia birthday bwana JK. Hivi leo ndio maana tunaweza kuwasikia wakina Kibonde wakiongea mambo wanayoona wao hata kama ni ujinga na nobody can say fyuuu! It pains!
Nawasilisha