Do you hate Monday mornings?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408

Or is it just a fallacy that everyone hates Monday mornings?

Yes it's back to work and school but is it really any different to any other weekday morning? Discuss please.

:llama::llama::llama::llama::llama:
 
Hahahaaaa mi naipenda sana coz huwa nishaimiss kazi ila huwa naichukia sana Jumamosi Asubuhi sababu ya jumuiya asbh ila huwa najilazimisha....huwa nafurahi sana mvua ikinyesha ili kupata kisingizio....:flypig:
 
Mimi ningekuwa na uwezo nisingekuwa naenda kazini jumatatu,yaani hii siku huwa na kisirani sana...ila katka zote sitasahau jumatatu ya wiki hii dah
 
Teh ulikumbwa na nini tena Rogi ?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mi naipenda sana coz huwa nishaimiss kazi ila huwa naichukia sana Jumamosi Asubuhi sababu ya jumuiya asbh ila huwa najilazimisha....huwa nafurahi sana mvua ikinyesha ili kupata kisingizio....:flypig:

Erickb52 umemichekesha sana, maana mimi nimeshashindwa hiyo jumuiya (jumamosi), na siendi ila michango yao yote natoa na binadamu tulivyodhaifu nina hesabika mwanajumuia mzuri tu!
 
Last edited by a moderator:

Or is it just a fallacy that everyone hates Monday mornings?

Yes it's back to work and school but is it really any different to any other weekday morning? Discuss please.

:llama::llama::llama::llama::llama:

When I was at school ... Yes.... But now.. Nah nah... I don't give a damn about it..!
 
Kuna kamrija kalikuwa kananiongezea hela ya mboga sasa siku hiyo bosi kaamka vibaya kaziba kamrija kale..
Hahahahaaaaa pole sana aisee lol
Utakapata kapya usijali maisha ni kupata na kukosa na unaweza ukapoteza mia ukaokota mia 5
 
Erickb52 umemichekesha sana, maana mimi nimeshashindwa hiyo jumuiya (jumamosi), na siendi ila michango yao yote natoa na binadamu tulivyodhaifu nina hesabika mwanajumuia mzuri tu!
Hahahaaaaaa Kaunga kuna wakati nilikuwa natoroka sana na jioni namtafuta katibu wa jumuiya namuuliza kama kuna jipya plus michango yote nampa teh na wakanipenda sana ila nimegundua najimaliza mwenyewe lol
Anza kwenda aisee kuna raha yake sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa Kaunga kuna wakati nilikuwa natoroka sana na jioni namtafuta katibu wa jumuiya namuuliza kama kuna jipya plus michango yote nampa teh na wakanipenda sana ila nimegundua najimaliza mwenyewe lol
Anza kwenda aisee kuna raha yake sana

Jumuia yetu wanasali sala ya asubuhi tu, looks like wengi hawapendi ila wanatimiza wajibu tu. Halafu wanabidii ya kutengeneza vimichango.

Easter iliyopita kulikuwa watu 3 wanabatizwa kwenye mkesha, tukachangishwa msimbazi kila familia eti kwa ajili ya zawadi na sherehe; imagine Easter nani aende kwa mwenyekiti, na zawadi walizopata haikufika 50,000 kati ya over 400,000 zilizokusanywa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mi naipenda sana coz huwa nishaimiss kazi ila huwa naichukia sana Jumamosi Asubuhi sababu ya jumuiya asbh ila huwa najilazimisha....huwa nafurahi sana mvua ikinyesha ili kupata kisingizio....:flypig:

Hahahahaaaaaa...... Hivi kwani lazima Kwenda Jumuiya.
 
Kwa kweli naichukia J3,
kwani ndio siku ya kupangua kabati zima asubuhi kutafuta nguo ya kazini.
Afu niwe na meetings,we balaa tupu.
 
hahaa,haina sababu ya kuichukia j3 make hata kma tungekuwa tunaenda job j5 tungeichukia j4. me nafikiri kucngekuwepo w-end ila mtu ukijisikia kupumzika unapumzika cku yoyote!
 
Boflo mi ikifika Sunday evening tu basi naanza kunywea kwa kuikupuka Monday morning. Yani jumapili naiona fupi kweli
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom