AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Habari wana JF....
Naamini most of mliopo na wasiokuwepo hapa... your weekend ilikua ni nzuri na your Loved ones are well and good...
Katika mahusiano ya Mapenzi kila moja hu wish kua angeweza kuingia rohoni ama nafsi ya Mpenzi wake huyo ili kujua/kuona ni kiasi gani his/her whole being imetawala …..Bahati mbaya saana ama nzuri HAIWEZEKANI… However kuna matendo/dalili ambazo huweza kukupa hints za nafasi yako kwa huyo Mpenzi wako… Hivo baadhi ya matendo ya Mpenzi wako ndio relient kwa mhusika Kusikia if s/he is LOVED...
Tips za kutambua kua Mpenzi wako is not in to you….
However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)
DISCLAIMER…..
Note that kuna watu wamejaliwa roho ya Imani… aweza baadhi ya mambo hapo juu kikamilifu kabisa kama inavotakiwa but still akawa not in to you…
Kumbuka kua naweza kua Wrong katika assumptions zangu... hivo basi naomba Comments zenu iwe ni opinion/masahihisho/addition ama lolote lile.... Karibuni.
UPDATES.... [Mambo muhimu yaloongezeka katika thread tokana na michango...]
Courtesy ya Klorokwin
Courtesy of Tulizo....
[maelezo yangu yali base saana katika mahusiano awali.... ya Tulizo ni more in the line ya WANDOA.... thou mengine mahusiano ya Awali pia Sababu sio woote hupata nafasi ya kusoma the Whole thread Naamini itakua helpful nikii add hapa.. ]
@Tulizo, Tatizomda, Eiyer and Nyumba kubwa [Mnaamini wivu in the above sense; i.e Tulizo alivoeleza... IMO Wivu ni the way ulivoelezewa hapa chini.... Naomba mjustify nje ya hapo, why iwe considered kutojiamini???]
Courtesy of Kaizer...
Pamoja Saaana
AshaDii [ADI]

- Mawasiliano..
- Ushirikiano…
- Ndugu na Jamaa
- Sweet Haven…
- Jealousy….
However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)
- Material Needs…
- Name Calling…
- Public appearances…
- Saying "I Love you"
- Speacial Romantic Moment….
DISCLAIMER…..
Note that kuna watu wamejaliwa roho ya Imani… aweza baadhi ya mambo hapo juu kikamilifu kabisa kama inavotakiwa but still akawa not in to you…
Kumbuka kua naweza kua Wrong katika assumptions zangu... hivo basi naomba Comments zenu iwe ni opinion/masahihisho/addition ama lolote lile.... Karibuni.
UPDATES.... [Mambo muhimu yaloongezeka katika thread tokana na michango...]
Courtesy ya Klorokwin
Sex Drive...
man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Courtesy of Tulizo....
[maelezo yangu yali base saana katika mahusiano awali.... ya Tulizo ni more in the line ya WANDOA.... thou mengine mahusiano ya Awali pia Sababu sio woote hupata nafasi ya kusoma the Whole thread Naamini itakua helpful nikii add hapa.. ]
At glance..
Mawasiliano..
Naamini mawasiliano ni translation ya kwanza ya Human Feelings and Reaction. Naamini jinsi gani tunavyopeleka message kwa wapenzi wetu ndio tunaonyesha jinsi gani tunavyowapenda. Binafsi sipendi artificial feelings na Lugha za ki-uwongo toka kwenye video na magazeti..yaani "darling" ya uwongo ya kila mara.. Napenda kusikilizwa na kusahihishwa. Lakini kama Mwanaume nina kasumba yangu ya uanaume yaani inabidi Mama amwage data ili nikubaliane na ushauri wake.. Lakini mara kwa mara napokubaliana na ushauri wake nadhani nae anajisikia kupendwa. To be loved ni kusikilizwa, to be loved ni kuheshimiwa na to be loved ni kusahihishwa pale unapokosea na sio kuogopwa kwa sababu wewe unaleta mkate na chakula nyumbani..Mapenzi ya woga ni sumu ya maisha.
Ushirikiano…
Katika ushirikiano.. To be loved ni pale mwenzako anapokuamini. Utakuta watu wanajenga hadi nyumba inafika juu lakini mwenzake hajui.. Wengine hawajui hata Payroll ya baba ikoje? Mnasema eti mnapendana… Mtapendana vipi bila kuaminiana? Yaani kila mtu mshahara wake anaujua mwenyewe.. Kama mnafichana payroll ..mtawezaje kupanga bajeti ya nyumba? Kama unamficha mpenzi wako Investments zako..Ukifa unataka nani afuatilie? I believe, Kama mtashirikiana katika mambo ya uchumi na jamii, mtaweza onyesha what is really love..kwani mapenzi ni kuaminiana .. Mapenzi ni Sacrifice yaani usiogope kumwonyesha vitega uchumi vyako kwa mke wako hata kama ni mtani wangu wa jadi toka kule Machame, Moshi..Mwamini kwa sacrifice..litakalotokea na litokee.. Mungu yupo!
Sweet Haven…
Kumkaribisha mpenzi wako kwako hata kama ni jalalani maana yake ni kujifunua. Maana yake umemwamini nae aone uko vipi. Mara nyingi nyumba inaficha siri nyingi. Tabia ya mtu utaijua nyumbani. .. Msafi.. Mchafu… mkarimu kwa majirani.. Ni kweli..To be loved ni kujivua gamba la kwenda hotelini na kujikita nyumbani kwako hata kama kuna panya, viroboto, na uswazi! Home sweet heaven..Ukifanya hivyo mpenzi wako atakupenda jinsi ulivyo na wala sio kama alivyokuona siku ile pale Kilimanjaro kempinski..
Jealousy….
Watu wanasema wivu ni dalili ya mapenzi.. Binafsi napinga. Utawekaje wivu kwa binadamu ambaye hujui ndani ya moyo wake anafikiri nini. Utafikiri vipi kuwa mimi nin-cheat wakati kama nin-cheat siwezi kukwambia? Wivu ni waste of time na psychological torture. Kama hujui..sahau!
Material Needs…
Chochote mnachotumia pamoja ni chenu..lakini kama mmoja anampiga "mzinga" mwenzake kila mara.wakati anazo ..hizo ni dalili mbaya za kwamba hakuna mapenzi ya kweli zaidi ya kutoaminiana.na biashara. Kama mnapendana ..au to be loved ni kuwa..kabla hajaomba utajua anataka na hana msaaada!
Name Calling…
Inategemea mnaishi mazingira gani na mmekulia katika mazingira gani.. Nenda kwa Morani kwa kimasai na shujaa halafu mwite "baby".. atasema..aisee mama nanii inaita mimi toto..ni dharau.. Nenda kwa mmasai huyo huyo aliyezaliwa na kukulia kule sehemu sehemu ..ambako wanaitana "baby" yaani atafurahi ukimwita "baby".. To be loved ni kuitwa vile unapenda wewe.. na si vile kama inavyoandikwa kwenye kitabu..
Public appearances…
Ukiona mpenzi wako anakukimbia ..basi ujue hapo hakuna mapenzi ila biashara! Kama wewe ni "kibosile" umesoma na mke/mume/Partner wako ni maimuna toka shule za kanumba.. Kama ukiweza kumchukua kwenda katika minuso ya vibosile....na ukamtambulisha na kumwambia huyu ni mke wangu..Yaani atajisikia..kuthaminiwa, kuaminiwa, na kupendwa.. Public appearances ni translation ya vitu hivyo..Thamani ya mtu, uwazi, na kujiamini..Ukiona mtu anakwepa public appearances..hujue anakwepa hivyo nilivyosema hivyo wewe tafuta mlango uliowazi na uondoke..
@Tulizo, Tatizomda, Eiyer and Nyumba kubwa [Mnaamini wivu in the above sense; i.e Tulizo alivoeleza... IMO Wivu ni the way ulivoelezewa hapa chini.... Naomba mjustify nje ya hapo, why iwe considered kutojiamini???]
Courtesy of Kaizer...
Naona tu kuna kipengele ambacho bado kipo contentious:WIVU
For wengine wanaona kuwa wivu haufai, wwengine wanaona wivu kama chachu ya mapenzi
I understand kuwa tumeshajadili sana role ya wivu kwenye mapenzi na hata kuitofautisha na ghubu nk
Lakini kwa upende wangu nadhani wivu wa kiasi ni muhimu...na sio lazima eti ionyeshe kuwa hujiamini au humpendi mwenzi wako..hapana...mi nadhani its something that comes NATURALLY unapompenda mwenzako KIUKWELI. Kwa sababu mapenzi ya ukweli huwa na some degree of possessiveness, kutaka chako kiwe chako peke yako, lakini pia kikitaka chako kisjisikie kuwa ni chako na kipo protected (nadhani kina dada/mama hapa mnanipata).
Pamoja Saaana
AshaDii [ADI]