asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,028
Ngoja nipite zangu mimi , ila kumuelewa mwanadamu ni kazi sana.
Tatizo nikisema hivo mnawaza na kutafsiri mnavyojua.
Nimesema mwanamke ana huruma si kama mnavyowaza,mfano mama anamhurumia mwanawe,baba anaweza kuwa na moyo mgumu lakini mama kwa mwanae ni tofauti,mi hata nikiwa mbali mama ndo wa kwanza kunijulia hali kuliko yeyote yule
umeona eeeh, yaani hadi mama yako mzazi? sijui inawezekana yeye mama yake alivyomzaa akamtupa ndo mana, MAMA atabaki kuwa mama tu, hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia anayovumilia mwanamke, kwasababu wewe ni mwanaume hutakaa ujue.Nasikitika kuona hata yule mama yako alikuzaa humuamini!!! Asee dunia imeisha
Nasema na nasisitiza mkeo ana moyo.
Naunga mkono hoja....! ila hapo kwenye kisansi itabidi unieleze vizuri..
wanawake katika kutetea upumbavu wao
Vijana wa kiume siku hizi naona hawafundwi ipasavyo ndio maana kila siku kulia kulia tu sijui wanawake wamefanya nini sijui wakoje yaani mpk Mungu anajuta kuwafanya vichwa vya familia.