Do we have TBC 1 International au ilikuwa TBC 1 USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do we have TBC 1 International au ilikuwa TBC 1 USA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Nov 6, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa najiuliza hadi sasa sijapata majibu na labda kwa kuwa JF kuna wengi baso mengi yanaweza kuwepo pia .Nimeshuhudia magazeti na hasa TBC 1 wakiwa navipindi maalumu juu ya Uchaguzi wa USA hadi wakaonyesha mwekeleo wao wa upendeleo kama kawaida badala ya kuleta habari kwa wananchi .Lakini kubwa ni kwamba TBC1 ilishindwa kabisa kuonyesha na kuelezea matukio ya Tarime kwa undani kwa faida ya watanzania .Kila walipo jaribu kusema lolote la Tarime basi lilikuwa la uongo na kuwapaka matope Waoinzani utadhani wao hawana haki na na TBC1 kama chombo cha kitaifa na kodi yao wapinzani pia inatumika kuiendesha .Mambo ya kutisha yalitokea Tarime lakini TBC walikuwa wa kwanza kupotosha umma .Leo najiuliza ilikuwa vipi habari za USA ziwe na maana sana kuliko habari zetu za Tarime na matumizi mabaya ya kila kitu kuanzia jeshi , mapesa nk ?

  Mwenye majibu anisaidie kunielewesha maana mimi naamini Tido Mhando kapoteza mwelekeo kama mwana habari wa Taaluma na kuwa kama Jeshi la polisi la CCM .
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  We had TBC1 Nairobi?
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lunyungu,
  Haishanhazi kuona TBC hawakutoa coverage ya maana kuhusu Tarime may be kwa kuwa mama yao ni hiyo hiyo serikali ya Sisiem ambayo inawamwagia mapesa hadi kusababisha hata wamiliki wa TV binafsi kuona hawatendewi haki katika biashara. Na ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa kilichotokea Tarime kwa kiasi kikubwa ni uvugaji wa mambo ambao CCM waliuchangia so TBC wasingeweza kuonyesha uozo. Lakini hili USA lazima washabikie si wanajifanya kuonyesha uzalendo katika "Rangi nyeusi" na ndio manama kuna wakati Tido Mhando alionyesha dhahiri kuchukia kila ilipoonekana Mcain anaelekea kumfikia Obama kwenye kura.....TBC wanahitaji kupewa ushauri nasaha kwani they way wanavyo-operate wako biased na hasa kwa amabo yanayogusa CCM...
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Asante kwa msaada huu wa hali ya juu .Kweli nimebaki nashangaa Tido na tabia yake mtu ambaye hatukumtegemea kabisa kufanya haya na hasa miaka hii ya 2008
   
 5. H

  Huduma Member

  #5
  Nov 6, 2008
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii vita unajua kwanini inakuwa ngumu? Vyama mbadala vyenyewe havitaki kuungana vina kila aina ya kisingizio na wote ni dhaifu hakuna wa kumumuvuzisha chama tawala hawana ubavu huo.

  Lakini kama kwanza, upinzani ungeliungana; pili Watanzania wakaelimishwa hatari ya kuwa na chama kimoja chenye viti zaidi ya asilimia 92% bungeni na kisha kuwa na mkakati wa kuipenyeza demokrasia hadi vijijini basi kazi ingelikuwa rahisi. Lakini kama tulivyo na upinzani na wanasiasa wake uchwara wenye njaakali sahau kuwa TBC inaweza kujirekebisha na kuwa angalau kama BBC, yaani, unauma lakini kwa mbaaaali sana.

  Namuonea huruma sana jamaa yangu Tido kuondoka TBC na kuja kusaidia kuhujumu demokrasia changa hapa nchini. Na bado tutaona wakina Masanja wakitumika kuhujumu demokrasia baada ya kujidai kuwatania viongozi wawili watatu wa serikali.

  This is truly owned state broadcasting corporation and you can tell from its operations where the president mind and heart are!

  Being a neo-colonized state of the Americans what a desire, God forbid it! We have no self respect for ourselves cannot we work with Chinese, Indians and Brazil to develop this goddamned backward state called Tanzania which its leaders want to make a 50 something state of the US?
   
 6. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TBC1 wanafanyakazi kwa maelekezo ya warasimu CCM.Tarime walishajua watapigwa chini na CHADEMA.
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Lawama za watu kusema vyama haviungani ni mwendelezo wa theory za wana JF ambao nadhani hawajaona hali halisi ilivyo.Naweza kusema tuna vyama serious katika upinzani 2 navyo ni CUF na Chadema .The rest ni makapi .Muungano umejaribiwa lakini wengi ni ma traitors na sasa badala ya kusema haki ya TBC kuwa straight iombwe na Vyama vya siasa nadhani it is high time na sisi wananchi ku shout and create awareness juu ya hujuma hii inayo ongozwa na Tido Mhando na CCM yao .Tarime they did na hata hawakuwa covered na TBC fairly ila wakafanya kweli na leo wanaomba kufanya interviews na watu kama Zitto lakini wanawakatalia kwa tabia zao .Nimeshuhudia Mtangazaji wa TBC akiomba kusema na Zitto Bungeni na Zitto akakataa kwa tabia zao na wakasema kwa uwazi kwamba wao wanapokea amri lakini si wao kama waandishi .

  We need to stand up na kusema tunaitaka TBC iwe ua Watanzania na si CCM . Hili ni jambo letu sote na si Upinzani ama Vyama vya Siasa .
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Awali ya yote, huko Tarime kuna tatizo la lugha?
   
  Last edited: Nov 6, 2008
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kibunango the messange has been sent and delivered.Sasa fanya jambo moja tu kwamba ongezea mchango wako baada ya hayo masahihisho ya lugha .Hili litakufanya uwake na uonekane badala ya kuweka alama na kutimka .Bado unaweza kutusaidia kuelewa kwa nini Tarime iliachwa na USA imekuwa covered kwa hali na mali .

  Wamarekani wamekuwa inspired na watu wa Tarime ambao waliikataa CCM wazi wazi pamoja na maguvu yao yote , mapesa na vitisho vikubwa .
   
Loading...