Do something!

Shetani

Member
Oct 23, 2007
29
0
Laana kuu ya wabongo ni longolongo na woga. Do something ~@$&%! La sivyo kaeni kimya maanayake malalamiko na manung'uniko pekee bila vitendo ni kichefuchefu. Angalau basi jiungeni na CHADEMA ili mijitu mijinga kama Chacha Wangwe ikose kuongoza maanayake kama ndio aina ya viongozi wa upinzani waliopo basi nchi haina matumaini. Afazali dogo mnyika kaamua shule haina maana yeye anasimamia shamba la mfano la Chadema na Zitto naye anavinjari na magari na pesa ya Mzee Gulam Dewji na Freemen kamfanya Gurumo house'girl kwa kisingizio eti cha kuugua athrityis.
 
Administrator please take this non sense off the Internet. We can't limit every body opinions, but we sure can limit this guy opinions. People like this not only cost our freedom of speech, but they meake me challange the whole freedom of speech rights.
 
Kumrazi kitumbua sio andazi. Shetani kachoshwa na haka katabia ka kila mbongo kuwa analyst kila mbongo politiaion kila mbongo spy kila mbongo mjuaji wa kila kitu matokea yake tunapigana longolongo tu hadi Yesu wenu atakaporudi (na kawapiga fix harudi ng'o). Ili tuendelee tunahitaji kitu kimoja:- kuacha kupiga domo.
 
We Mdanganyika kama huwezi vumilia gharama ya freedom speech jitie kidole mdomoni utapike nyongo hiyo.
 
Jina lake linakupa taswira ya mawazo, mitazamo na misimamo yake. let us learn to ignore these sorts of criticism
 
weird....sioni tatizo la shetani ktk maada hii, mada ipo cleani na anachosema ni cha kweli. Ooooh god help us, hii ni unneccesary censorship....wallahi kama mambo ndio yapo hivi basi hiyo laana ya bongo itakuwa maradufu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom