Do our leaders have any morals?

Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,933
2,000
miye simo ngoja nikae mkao wa kumuangalia Oprah...
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Mar 24, 2007
3,070
1,195
We must admit that sometimes the intended message might be misunderstood kwa sababu la lugha. So, lugha is important na wanaokosoa hapa wasionwe wabaya.
Tukiamua kujadili content, nadhani lack of morals si tatizo la viongozi pekee. Hivi tumewahi kujiuliza values za watanzania ni zipi na zinazingatiwa na watu wengi (maana si rahisi kuwa wote).
I do believe that most tanzanians hawana habari na kitu kinaitwa values. In such a state we can hardly have the morality it takes to make a nation which we desire
Tatizo hapa linatokana na ainisho kwamba ili tuendelee tunahitaji.
WATU
ARDHI
SIASA SAFI
NA UONGOZI BORA.
Kadri ya ainisho hili Viongozi wako kwenye kundi tofauti na watu, viongozi si sehemu ya watu.
Mimi nadhani tunahitaji
WATU NA ARDHI

Siasa na Uongozi bora ni mazao ya watu, kwa hiyo uchambuzi wa MH hapo juu ni sahihi tukizingatia kwamba viongozi si sehemu ya watu ila ni viumbe (Alien) waliokuja Tanzania kutawala tu.
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Mar 24, 2007
3,070
1,195
Ndiyo maana Marehemu Thabiti Kombo aliwashangaza watu mara baada ya kurudi toka safari yake ya kwanza UK kwamba; huko Uk wenzetu wameendelea sana kwani hata watoto wadogo wanasema kimombo bila matatizo.
Mzee thabit asitambue kwamba kimombo kwao wa UK ni sawa na Kiswahili kwetu wa Tanzania.

Naona mawazo na msimamo wa Mzee thabiti bado tunao na tutawaambukiza mpaka vilembwe wetu.
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
7,006
1,225
Tatizo hapa linatokana na ainisho kwamba ili tuendelee tunahitaji.
WATU
ARDHI
SIASA SAFI
NA UONGOZI BORA.
Kadri ya ainisho hili Viongozi wako kwenye kundi tofauti na watu, viongozi si sehemu ya watu.
Mimi nadhani tunahitaji
WATU NA ARDHI

Siasa na Uongozi bora ni mazao ya watu, kwa hiyo uchambuzi wa MH hapo juu ni sahihi tukizingatia kwamba viongozi si sehemu ya watu ila ni viumbe (Alien) waliokuja Tanzania kutawala tu.

Mbaya zaidi bado tumekubali kuwa watumwa wa ZIDUMU FIKRA... kwani vitu hivyo vilitajwa zamani sana na bado tunaendelea kuviimba hadi leo. Wanaojaribu kuonyesha kuwa ili tuendelee hatuhuitaji tena vitu hivyo (vinne) wanaonekana ni maadui.
Katika ulimwengu wa sasa siasa ni lazima itabadilika kulingana na wakati na kwa nchi zetu hizi tegemezi inategemea pia na matakwa ya mabwana wakubwa, na hapo ndipo suala la morals linapozidi kuharibika kwani hao tunaodhani kuwa ni viongozi wetu wameshabaini kuwa wizi ndio njia bora ya kuongoza
 
Top Bottom