BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
Katika vipimo hivi vya DNA ni kweli makosa yanaweza kufanyika na hivyo kurudisha results ambazo haziko accurate. Kwa mfano kuchukua sample ya Mr A na kudhani ni ya Mr B. Hao watendaji katika maabara hizo wana uaminifu kiasi gani? Hawawezi kupokea rushwa ili kuonyesha kwamba majibu ni positive/negative ili kumridhisha mtoaji rushwa!?