Dkt Wilbroad Slaa anamjua hadi GENTAMYCINE

GENTAMYCINE tafadhali rudi kwenye uzi ujibu hoja, LOTH HEMA nang'ang'aniwa kuwa ndiwe wewe katika id nyingine. Sijui kama utakubali nipewe sifa zako zilizotukuka wakati mimi ni sawa na kichuguu tu na wewe ni sawa na mlima kilimanjaro ulio mrefu Afrika na upo nchini Tanzania, sistahili hata kidogo kuhusishwa nawe katika uandishi wako uliotukuka na kufuatiliwa na wengi humu
Tena KUTUKUKA ndio neno lake pendwaaa
 
Kwa hiyo GENTAMYCINE ndiye member maarufu kuliko wote humu, kwa lipi hasa? Kama ni talented mbona kila member yuko talented naturally? Member wenyewe ndiyo wanayemtukuza na kumuinua, mcheza kwao hutuzwa
 
Popoma yuko very talented kwenye kuchamba na kutukana kuliko member yoyote Jf.
Yaani ni anusuta/chamba kuliko shangingi la kizaramo.
Inasemekana mtaani kwao alishawahi kumsuta/kumchamba mwizi mpaka mwizi wa watu akajifia kwa kihoro pasi na kupigwa na mtu.
Ila mimi binafsi namkubali sana popoma maana yeye ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom