Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.
Haya wengine tunashukuru kwa kushiriki kwenu mkacheze mnapochezaga
 
Hivi kweli mkuu, kuna nani wewe unadhani anaweza kupingana na executive? nchi hii Tanzania. kwa uhalisia kabisa.
Binafsi, ningeshangaa sana kama wasingempitisha Dr. Tulia.

Tuelezeni wapi walipingana viongozi wa chama Kimoja. Labda Kenya. Makamu na Rais Wake.
 
Kati ya kazi nzito alizofanya akiwa Mwanasheria Mkuu ni kuongoza jopo la mawakili wa Serikali katika kesi maarufu kwa jina la mita 200, kwani kulitokea mvutano baina ya vyama vya upinzani na Serikali katika kutafsiri sheria ya umbali wa wananchi kukaa mara baada ya kupiga kura.
Hii kesi Tundu Lissu hatakuja kuisahau maisha yake yote
Jaji alitumia dak 5 tano kutupilia mbali hoja za lissu baada ya kuridhishwa na kiapo kinzani toka kwa Dk Tulia
 
Back
Top Bottom